Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
- Thread starter
- #701
250,000/=hahitaji cylinder head ya machine K6 (timing chain) ya suzuki carry . bei gani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
250,000/=hahitaji cylinder head ya machine K6 (timing chain) ya suzuki carry . bei gani ?
Unamaanisha hizi disc rota au unamaanisha brake pads?Disc pad complete za mbele na nyuma (IST) shs ngapi?
Brake padsUnamaanisha hizi disc rota au unamaanisha brake pads?
Mbele 40,000/=Brake pads
Elfu 80 used DubaiChief ntapata master cylinder ya vitz clavia old model
Inawezekana mkuu waone mafundi funguoMaster of the game
Naomba kuuliza, naweza kutengenezewa system (njia) ya Ufunguo mpya.
Nataka kubadili kabisa aina ya funguo za gari aina ya RUNX
Funguo zilikuwa mbili, moja haionekani, hivyo nataka kubadili mfumo wa funguo ili zipatikane aina mpya za funguo
Nipe details za gariNahitaji plugs pamoja na brake za VW GOLF TOURAN...unazo?kama unazo bei gan
Laki 4Bamba ya mbele allex bei gan mkuu!
Tumia ya piston 4,hizi piston tatu mitihaniMkuu nahitaji engine ya PASSO, piston 3 aina ya 1KR. Ofisi zenu ziko sehemu gani mkuu hapa Dar nije
Unaibiwaje hicho kizibo na wewe acha kuendekeza uzembe wa kitoto.Siku hizi Petrol station ukijaza wese ule mfuniko wa ndani wa tank la mafuta wanaiba.
Nimepigwa somewhere,natafuta wa kununua wa Vitz.
Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.
Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?
Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.
Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .
Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807
Sent using Jamii Forums mobile app