Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Siku hizi Petrol station ukijaza wese ule mfuniko wa ndani wa tank la mafuta wanaiba.
Nimepigwa somewhere,natafuta wa kununua wa Vitz.
 
Mkuu nilikuuliza kuhusu 7a engen kiasi gani na je inainclude gearbox hiyo bei?
 
Mkuu nimekuelewa,nilikuwa nahitaji vile vitu kwa haraka kweli,gari ni turbo,jumatatu nitakupigia tena tufanye biashara,ila power window bei si inazungumzika?
 
Mkuu nimekuelewa,nilikuwa nahitaji vile vitu kwa haraka kweli,gari ni turbo,jumatatu nitakupigia tena tufanye biashara,ila power window bei si inazungumzika?
Sawa mkuu tutazungumza
 
Habari ndugu, nahitaji Taa moja ya mbele BMW e60 525i ya mwaka 2008 . Utanisaidia vipi ndugu,? naomba na bei kabisa
 
Gearbox ya Suzuki swift
Ina select gear pembeni
Bei:500,000
Mawasiliano:0658124554
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…