dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Ebwana Rav4 old ina kiduku kinanisumbua sana kwakweli...naomba kama una spear ya kukitubu tafadhali unipatie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulipata wapi na kwa bei gani? Maana mastercard ananiambia 1.4m mpya n maduka mengine used za dubai 500k. Hizi Vanguard steering rack zake majanga sanaNahitaji steering rack ya vanguard
Kumbe ulikuwa uzushi wa fundi. Ilikuwa ni adjustment fulani tuMkuu ulipata wapi na kwa bei gani? Maana mastercard ananiambia 1.4m mpya n maduka mengine used za dubai 500k. Hizi Vanguard steering rack zake majanga sana
Nahitaji shafti ya 4s engine kwa ajili ya noah
Dah! Tatizo Nini mkuuMaster of the Game alishakula life ban
Mkuu 4 au 6?Nstafuta gear box auto ya escudo model za 1993.Mwenye nayo taja bei yako.
Karibu sana Master of the game, tulikukosa sanaWakuu nimerudi tuendeleze gurudumu ,nitakadiria waliouliza siku za nyuma huko walishakata tamaa na kutafuta kwengine.
Kama utakua bado unahitaji tafadhali nijulishe na wengine wote wenye uhitaji wa spare wasisite kuuliza watapata majibu.
Nilikuwa natafuta vifuatavyo;
1.side mirror ya Runx, bei gani mkuu.
2. Pia natafuta yale ma-cover ya kwenye buti ya spea tairi, lile limekaa kama beseni huwa linakaa juu ya tairi la spea
3. Natafuta cover jeusi linakuwa kwenye, mzunguko wa mahali linapokaa tairi, Ni kama bumper fulani
Mkuu pamoja na ushauri huo wa fundi wangu mimi naungangana na hao mafundi wawili ... Gearbox ikianza kukataa reverse jua tayari huna gearbox... Unaweza kutumia gharama kutengeneza na bado ikasumbua tu
Taa za ist za busta unauza bei gani ?
Mimi nahitaji nozzle ya HILUX D4D bei gani ?