Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Wakuu nimerudi tuendeleze gurudumu ,nitakadiria waliouliza siku za nyuma huko walishakata tamaa na kutafuta kwengine.

Kama utakua bado unahitaji tafadhali nijulishe na wengine wote wenye uhitaji wa spare wasisite kuuliza watapata majibu.
Karibu sana Master of the game, tulikukosa sana
 
Nilikuwa natafuta vifuatavyo;
1.side mirror ya Runx, bei gani mkuu.
2. Pia natafuta yale ma-cover ya kwenye buti ya spea tairi, lile limekaa kama beseni huwa linakaa juu ya tairi la spea
3. Natafuta cover jeusi linakuwa kwenye, mzunguko wa mahali linapokaa tairi, Ni kama bumper fulani
 
1. side mirror hua na bei tofauti kulingana na
(a). mwaka uliotengenezwa gari
(b). upande wa side mirror.
je ya kwako ni ya upande gani, na gari yako ni ya mwaka gani. picha ni muhimu

2. cover la chini la spea tair pamoja na jeki na handle jack ni laki tatu 300,000

3. madgud cover ni elfu 80 orgnal, ila yale yakuchongea( made in bongo ) ni elfu 30 pamoja na kuwekewa.
Nilikuwa natafuta vifuatavyo;
1.side mirror ya Runx, bei gani mkuu.
2. Pia natafuta yale ma-cover ya kwenye buti ya spea tairi, lile limekaa kama beseni huwa linakaa juu ya tairi la spea
3. Natafuta cover jeusi linakuwa kwenye, mzunguko wa mahali linapokaa tairi, Ni kama bumper fulani
 
Mkuu pamoja na ushauri huo wa fundi wangu mimi naungangana na hao mafundi wawili ... Gearbox ikianza kukataa reverse jua tayari huna gearbox... Unaweza kutumia gharama kutengeneza na bado ikasumbua tu

Gearbox nyingi za Automatic Car hapa Dar hazina fundi wenye uelewa wa kufanya matengenezo or replacement hivyo wengi watakushauri kununua gearbox nyingine wakati tatizo linaweza kuwa ni dogo sana, mie fundi wangu aliwahi kunishauri hivyo wakati kumbe ni kidude kidogo tu "Selonoid" kilikuwa kimekufa na nilipita Ilala yote nakiulizia watu hawanielewi mwisho nikakiagiza Japan....changamoto ya Automatic gearbox hapa kwetu ni kubwa kwani hatuna mafundi fullstop!
 
Back
Top Bottom