Mnyanyunda
Member
- Aug 2, 2016
- 82
- 134
Umeshapata kiongozi...?
Bado nipe bei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshapata kiongozi...?
Bado nipe bei
Taa 350,000/=Natafuta full package ya taa ya mbele yenye busta, kulia ya gari ya ist
Nozzle 400,000/= kwa mojaMimi nahitaji nozzle ya HILUX D4D bei gani ?
350,000/=kwa mojaTaa za ist za busta unauza bei gani ?
mbona wanakupa ban tu wakijiskiaa350,000/=kwa moja
Hata sielewi mkuu shida iko wapimbona wanakupa ban tu wakijiskiaa
Yeah sio rahisi kupatikana ni yakutafuta hasa , ikipatikana bei yake ni 150,000/=Natafuta rear wiper ya toyota runx........nimepita maduka mengi wanasema sio rahisi kupatikana!
Asante sana bossBrother
Much Respect kwa mchango wako JF.
welcome back kamandaHata sielewi mkuu shida iko wapi
85,000/=Nahitaji sun visor ya upande wa kulia, Toyota Corolla Runx 2002. (Like kidude cha kuzuia jua mkuu)
Complete ni Milioni 1.2Mkuu Nahitaji complete exhaust ya Toyota Vanguard
We jamaa hauko serious, unaulizwa spare fulani hapa jukwaani, unajibu unayo, ukifatwa kiuhalisia full mizinguo...eti kwanini?Wakuu nimerudi tuendeleze gurudumu ,nitakadiria waliouliza siku za nyuma huko walishakata tamaa na kutafuta kwengine.
Kama utakua bado unahitaji tafadhali nijulishe na wengine wote wenye uhitaji wa spare wasisite kuuliza watapata majibu.
Mkuu kidude chenyewe ni kama hicho, ndio bei hiyo mkuu[emoji115][emoji115].85,000/=
Dah.....ngoja nipambane!Yeah sio rahisi kupatikana ni yakutafuta hasa , ikipatikana bei yake ni 150,000/=
Ni gharama sana, mi Mwenyewe nilikuwa natafuta ruber ya hiyo Wiper ya nyuma ya runx ila nazo madukani nimetafuta sijapata