Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Natafuta rear wiper ya toyota runx........nimepita maduka mengi wanasema sio rahisi kupatikana!
 
Wakuu nimerudi tuendeleze gurudumu ,nitakadiria waliouliza siku za nyuma huko walishakata tamaa na kutafuta kwengine.

Kama utakua bado unahitaji tafadhali nijulishe na wengine wote wenye uhitaji wa spare wasisite kuuliza watapata majibu.
We jamaa hauko serious, unaulizwa spare fulani hapa jukwaani, unajibu unayo, ukifatwa kiuhalisia full mizinguo...eti kwanini?
 
Mkuu kidude chenyewe ni kama hicho, ndio bei hiyo mkuu[emoji115][emoji115].
Polish_20200710_151201897.jpg
 
Back
Top Bottom