Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Mkuu samahani naomba kujua bei ya engine ya townace 2y au 3y pamoja na gea box yake ,naomba bei ya mpya na used .
 
Mi nahitaji head gasket ya MR20 engine ila sio ya material ya chuma....
 
Brake pads za wish old model unauzaje mkuu? Nina safari hivyo nahitaji nibadilishe za mbele na nyuma.
 
Nahitaji Alternator ya Corolla AE100. Na bei please
 
Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.

Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?

Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.

Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .

Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji sensor ya gear box automatic, ya nissan cube 2007, unayo? Shs ngapi chief?
 
Nahitaji spare za tdi 110, engine 300

1. Cooling cover( air hood) inakaa between radiator na engine

2.viscous coupling

3.snorkel(complete set)
 
Nahitaji engine ya mazda.demio 2005/7 DHCVE 4 valves na gear box yake,sh ngap mkuu
 
Back
Top Bottom