Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Nahitaji hii
2021_01_08_14.24.51_edit.jpg
 
Nahitaji staring rek ya Nissan Xtrail, na complete engine ya xtrail, gari ni ya mwaka 2001...
 
Taa ya mbele upande kulia imepasuka, Subaru Impreza 2008.
Bei gani...?
 
Natafuta bonet, headlamp kulia, Indicator kulia mbele, ABS , Mtungi wa hydralic fluid, mtungi wa maji ya Wiper vyote vya TOYOTA , COROLLA 110 HARAKA NIPO DAR KARIAKOO
 
Natafuta bonet, headlamp kulia, Indicator kulia mbele, ABS , Mtungi wa hydralic fluid, mtungi wa maji ya Wiper vyote vya TOYOTA , COROLLA 110 HARAKA NIPO DAR KARIAKOO
Bonet 250,000/=
Headlamp 80,000/=
Indicator 60,000/=
ABS 75,000/=
Mtungi wa hydraulic 30,000/=
Mtungi wa maji ya wiper 50,000/=
Call 0658124554
 
Mkuu hub za mbele za nissan tiida (2005) bei gani? Na master cylinder (brake) bei gani?
 
Hub 240,000/=
Master cylinder nitumie sample
Bro habari.
Hivi mbona vifaa vya magari vinakuaga bei kubwa sana? Kakitu kadogo tu bei kubwa. Sababu hasa huwa nini.

Kweli hakuna mfanyabiashara akaja na strategy ya kuviagiza na kuuza bei cheap akapiga hela mpaka akazikimbia?
 
Taa za nyuma za gx110 njano ndefu unauza bei gani? Pia bampa lamp pesa ngapi
 
Back
Top Bottom