Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Kiongozi, nina prado 95, ina tatizo la kuyumba sana barabarani nikiwa spidi kuanzia 70 tu, nimebadilisha vitu vyote vya mbele, boljoint, tyrod nk, nimepiga wheel balancing/ alignment lakini bado tatizo lipo, je yaweza kuwa nini?
Tatizo ni K. Vant tu mkuu 😂😂😂
 
Habari mkuu,

Natafuta shockup za mbele na nyuma pamoja na spring zake za Toyota Spacio old model.

Bei ikoje?
 
Taa ya nyuma ya brevis bei gani ile ya kwenye buti pamoja na ile ya indicator
 
Nahitaji extension bar ya liteace truck 4 wheel na mofla kama unazo bei zake zipoje
 
Hii Oxgen sensor nitaipata kwa ngapi

20210130_174116.jpg
 
taa ya mbele ya ist yenye buster, na bampa la fog kila kimoja ni sh.ngapi
 
Back
Top Bottom