Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Mkuu naulizia Head lamp ya Subaru Impreza Sports ya 2012, model DBA - GP7, ni kiasi gani ?
 
Nahitaji kiti cha Dereva cha Mercedes Benz - C class yangi siyo kikwazo ingawa Perl ndiyo rangi yake
 
Sterling ya gari yangu mazda demio 2005/7 ni ngumu inatumia umeme.Nilibadil sterlingwreck lakini naona bado haipo laini kama ilivyokuja,kuna mafundi walipima na vifaa vya umeme wakasema control box ya sterling ina shida nimeitafuta ilala sijaipata.Mwenye ujuzi wa kutatua ili tatizo naomba msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom