Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nimepiga simu jamaa anasema hana hiyo hudumaUsisubiri mpaka uibiwe uitafute gari yako kwenye mfuko wa suruali..Hii hapa mini tracker kwajili ya ulinzi wa gari yako,pikipiki au kitu chochote chenye thamani.
1:Hii ni ndogo sana na nyepesi rahisi kabisa kuibeba na pia inazo smaku mbili zinazowezesha kuitega sehemu yoyote kwa urahisi.
2:Ni nyeusi hivyo ni rahisi zaidi kuificha
3:Huhitajiki kufanya malipo ya kila mwezi ukishanunua
4: Ni nzuri kwa ulinzi wa gari,pikipiki,bajaji na mali nyengine yoyote ya thamani yenye hatari ya kuibiwa.
5:Hii tracker itakusaidia kujua ni wapi chombo chako kipo na pia unaweza kurikodi mazungumzo yanayofanyika karibu na chombo hicho.
6: Utahitaji line ya simu inayofanya kazi na utaweka kwenye hicho kifaa ili kukiwezesha kufanya kazi.
Bei yake ni 80,000/= na tunakutumia popote ulipo Tanzania pamoja na kuhakikisha tunakupa maelekezo zaidi ili uweze kukitumia
Weka oda yako sasa, wasiliana nasi 0658124554View attachment 1163286View attachment 1163289
Mafla sina mkuuNahitaji muffler ya Nissan Murano 2005, ya kati na ya nyuma kabisa..
Nitumie sample 0658124554Right engine Mount ya toyota GAIA ( 2002) . Napataje?
Ziliisha hizi mkuu wacha nifute hiyo postMbona nimepiga simu jamaa anasema hana hiyo huduma
Bro, natafuta bampa la mbele la Toyota Passo Racy. Shingapi vile naweza kulipata?Ziliisha hizi mkuu wacha nifute hiyo post
430,000/= unalipata mkuuBro, natafuta bampa la mbele la Toyota Passo Racy. Shingapi vile naweza kulipata?
Bampa nililonalo limechakaa sana.
Boss nahitaji drive shaft ya suzuki wagonR solio430,000/= unalipata mkuu
La kijicho 400,000/=Bamba la mbele la allex bei gan boss? Hila la kwamgu limechakaa kwa kweli
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Njoo tu mkuu kila kitu kitakua sawaMkuu ji.erudi sasa,ntakuja ofisini kuchukua ile shockup ya terios kid kama tulivyo ongea kipindi kile japo dogo wa boda boda alizingua siku ile
Mswaki ndio kifaa gani. Hata kwenye gari yangu kitakuepo?Nahitaji mswaki wa Suzuki escudo G16 na taa za Nadia Suu za maduala
Mswaki sina nitumie hiyo Nadia picha yakeNahitaji mswaki wa Suzuki escudo G16 na taa za Nadia Suu za maduala
Mswaki ni engine ya gari ambayo haijakamilika.Mswaki ndio kifaa gani. Hata kwenye gari yangu kitakuepo?
Ni Nadia su taa zake ni zile za madualaMswaki sina nitumie hiyo Nadia picha yake