Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Usisubiri mpaka uibiwe uitafute gari yako kwenye mfuko wa suruali..Hii hapa mini tracker kwajili ya ulinzi wa gari yako,pikipiki au kitu chochote chenye thamani.

1:Hii ni ndogo sana na nyepesi rahisi kabisa kuibeba na pia inazo smaku mbili zinazowezesha kuitega sehemu yoyote kwa urahisi.
2:Ni nyeusi hivyo ni rahisi zaidi kuificha
3:Huhitajiki kufanya malipo ya kila mwezi ukishanunua
4: Ni nzuri kwa ulinzi wa gari,pikipiki,bajaji na mali nyengine yoyote ya thamani yenye hatari ya kuibiwa.
5:Hii tracker itakusaidia kujua ni wapi chombo chako kipo na pia unaweza kurikodi mazungumzo yanayofanyika karibu na chombo hicho.
6: Utahitaji line ya simu inayofanya kazi na utaweka kwenye hicho kifaa ili kukiwezesha kufanya kazi.

Bei yake ni 80,000/= na tunakutumia popote ulipo Tanzania pamoja na kuhakikisha tunakupa maelekezo zaidi ili uweze kukitumia

Weka oda yako sasa, wasiliana nasi 0658124554View attachment 1163286View attachment 1163289
Mbona nimepiga simu jamaa anasema hana hiyo huduma
 
Mkuu ji.erudi sasa,ntakuja ofisini kuchukua ile shockup ya terios kid kama tulivyo ongea kipindi kile japo dogo wa boda boda alizingua siku ile
 
Nahitaji mswaki wa Suzuki escudo G16 na taa za Nadia Suu za maduala
 
Mswaki sina nitumie hiyo Nadia picha yake
Ni Nadia su taa zake ni zile za maduala
IMG-20210517-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom