Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Oya kaka gari angu Toyota premio Inashida Ac haipulizi vizur taabu ni Nini ? Ila nlipeleka kwa fundi akasema ni compressor ndo Inashida sas hyo compressor napata kwa bei gani mkuu? Ama kama tatzo ni tofaut nambie
 
Mkuu nin gar zuzuki carry injection gari inatetemeka sana alfu aikai na silence kbsa ukiwa unatembeaa ukaimammishwa gafla ukikajaga clutch gar inasima
 
Mshikaji mwenye uzi anawapotezea wateja kinoma. Dharau hizi
Mniwie radhi sana wakuu ni kweli nimewaangusha mno,nasoma hizo comment za mwezi September,mpaka December nashindwa hata nianzie wapi.

Tukadirie tu kua hizo comment za miezi ya nyuma tayari walinunua hizo spare hivyo hawahitaji tena.

Sasa tufungue ukurasa mpya kuanzia sasa

Sent from my Infinix X604 using JamiiForums mobile app
 
Habari mkuu..
Mkuu taa ya forester bei gani ile ya nyuma
Gari yangu model hiyo ilipata ajali hivyo nina baadhi ya vifaa nilivitoa kabla ya kuiuza kama scraper. Kuna side mirror zote mbili, power window zote, taa ya mbele kulia(ya booster), ya nyuma kulia na makolokolo mengine...
20210809_113726.jpeg
 
Habari mkuu..Gari yangu model hiyo ilipata ajali hivyo nina baadhi ya vifaa nilivitoa kabla ya kuiuza kama scraper. Kuna side mirror zote mbili, power window zote, taa ya mbele kulia(ya booster), ya nyuma kulia na makolokolo mengine...View attachment 2056627
Mkuu MBNA uliuza scraper wakat Gari Inaonekana ingetengenezeka au engine ilizngua?
 
Shukran, ntakucheki kwa hiyo namba, na engine ya toyota hiace 5l complete ina bei gani?
 
Back
Top Bottom