makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Poa mwamba ngoja nimcheki muhusikaHii inatembea Milioni 2.7 kwasasa engine complete
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mwamba ngoja nimcheki muhusikaHii inatembea Milioni 2.7 kwasasa engine complete
Poa mcheki halafu nirudiePoa mwamba ngoja nimcheki muhusika
Karibuuzi poa
Mkuu hio kupata zaidi Sana 50k tena umeonewa hurumaView attachment 2308839
View attachment 2308841
Wakuu nauza Redio ya Gari Ist second generation, 150,000 tsh....inapatikana Mbeya.
Imekuja na engine gani
Imekuja na engine ganiGearbox ya Mitsubishi Mini Pajero
Elfu 60 kwa moja
Milioni 2.44efe engine complete inacost sh ngapi kwa sasa
Nahitaji gearbox ya 5L iwe 4w driveMilioni 2.4
Mkuu nina Baloon engine ya 4s,Ninataka kuikarabati kubadili vitu kadhaaMilioni 2.4
Hivi vitu kipengele vya kutafuta sana tena huko Mabwepande kama uko serious nicheki tuvisake 0658124554Mkuu nina Baloon engine ya 4s,Ninataka kuikarabati kubadili vitu kadhaa
Rejeta
Taa zote za mbele ndogo na kubwa
Dashboard yote
Mfumo wa AC
Vitasa vya milango
Je naweza pata spares za vitu hivyo na ni bei gani?
Iko na engine ganiMkuu compressor ya AC Toyota premio new model bei gani
Hizo tunanunua 4OK huku, redio ya kijapan utamuuzia nani laki na nusu😂😂😂View attachment 2308839
View attachment 2308841
Wakuu nauza Redio ya Gari Ist second generation, 150,000 tsh....inapatikana Mbeya.