Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

IMG_0983.jpg


IMG_0986.jpg


Wakuu nauza Redio ya Gari Ist second generation, 150,000 tsh....inapatikana Mbeya.
 
Mkuu nina Baloon engine ya 4s,Ninataka kuikarabati kubadili vitu kadhaa

Rejeta

Taa zote za mbele ndogo na kubwa

Dashboard yote

Mfumo wa AC

Vitasa vya milango

Je naweza pata spares za vitu hivyo na ni bei gani?
Hivi vitu kipengele vya kutafuta sana tena huko Mabwepande kama uko serious nicheki tuvisake 0658124554
 
Back
Top Bottom