Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Rav 4 J ya 1998 Nusu Mkate

Taa ya Nyuma kushoto
Taa ya Mbele Kulia
Hub ya mguu wa kulia mbele
Steering rack
Kioo cha Upande wa Dereva
Kioo kidogo cha Upande wa dereva
Kioo cha Nyuma
Door handle ya mlango wa nyuma
 
Rav 4 J ya 1998 Nusu Mkate

Taa ya Nyuma kushoto
Taa ya Mbele Kulia
Hub ya mguu wa kulia mbele
Steering rack
Kioo cha Upande wa Dereva
Kioo kidogo cha Upande wa dereva
Kioo cha Nyuma
Door handle ya mlango wa nyuma
Taa ya nyuma 90,000/=
Taa ya mbele ya crystal 230,000 /=
Ya kawaida 100,000/=
Hub complete 300000/=
Kioo cha mbele 120,000 /=
Kioo cha nyuma 120,000/=
Kioo cha pembeni 60000/=
Doo handle 65000
 
IGINAL SPARK COIL ZA SUZUKI SWIFT ENGINE M13 NAHITAJI MBILI SHI NGAPI???
 
Master bumper la mbele la Rav4 old model lenye fog light sh ngap ? Na lisilo la fog light sh ngap ?
 
natafuta engine mount ya spacio new model engine 1NZ napata kwa sh ngapi?
 
Back
Top Bottom