Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Unaelewa lakini ninachokujibu, mbona kama hunielewi mkuu.Agenda za waziwazi ndiyo Agenda za namna gani mkuu!?,unaweza kufafanua kidogo?
Huwezi elewa swali langu la Pili kama swali la kwanza hujalielewa!
Taarifa za BBC mara nyingi huwa zina ukakasi, kuna taarifa za uongo wa wazi kabisa, walionesha videi ya mazishi ya usiku usiku Tanzania kipindi cha covid 19,
Taarifa nyingi tu za mataifa mbalimbali unakuta wako biased, kinyume na kanuni za fani hii ya uandishi wa habari, Tena baadhi ya taarifa wamewahi kutoa kuhusu pope, ikaleta mkanganyiko mkubwa tu, ila baada ya muda kdogo waksamua kuomba msamaha na kuirekebisha.
Hivyo ni vitu vinavyoondoa imani yangi kwenye chombo hicho.
Siwezi kukichukua kama muhabarishaji mkuu, maybe kama kuna source nyingine itaconfirm taarifa yenye mfanano na BBC.
Sjui hata kama unanielewa