Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
gentleman,Ni kawaida kwenye maisha yetu watanzania: Tukiona mtu mweusi ana hela tutahoji sana, ila akiwa mzungu, mwarabu, muhindi ama shombeshombe hatuoji, tunaamini ni pesa zao halali na tutafosi tu narratives kwamba wajomba zake wana visima au ana undugu na Bush, Obama na kadhalika.
Kwahiyo wewe kama kama kiongozi, ukiiba pesa peleka kwa hiyo jamii huku ukimonitor taratibu.
Hayo ni maoni yako wewe kama wewe. Kuna weusi wana deals safi, kuna weusi wana deals chafu. Kuna wazungu, Waarabu, Wahindi wana deals safi na wapo wenye deals chafu.Ni kawaida kwenye maisha yetu watanzania: Tukiona mtu mweusi ana hela tutahoji sana, ila akiwa mzungu, mwarabu, muhindi ama shombeshombe hatuoji, tunaamini ni pesa zao halali na tutafosi tu narratives kwamba wajomba zake wana visima au ana undugu na Bush, Obama na kadhalika.
Kwahiyo wewe kama kama kiongozi, ukiiba pesa peleka kwa hiyo jamii huku ukimonitor taratibu.
Kabisa mkuuHayo ni maoni yako wewe kama wewe. Kuna weusi wana deals safi, kuna weusi wana deals chafu. Kuna wazungu, Waarabu, Wahindi wana deals safi na wapo wenye deals chafu.
Uko sahihi kabisagentleman,
ni muhimu sana kufanya kazi kwa bidii bila kukata tamaa inawezekana kabisa kutoboa bila kua na sense ya kuiba au kuibiwa 🐒