Unaibaje?

Unaibaje?

Mashamba Makubwa Nalima

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
4,978
Reaction score
2,411
Ni kawaida kwenye maisha yetu watanzania: Tukiona mtu mweusi ana hela tutahoji sana, ila akiwa mzungu, mwarabu, muhindi ama shombeshombe hatuoji, tunaamini ni pesa zao halali na tutafosi tu narratives kwamba wajomba zake wana visima au ana undugu na Bush, Obama na kadhalika.

Kwahiyo wewe kama kama kiongozi, ukiiba pesa peleka kwa hiyo jamii huku ukimonitor taratibu.
 
gentleman,
ni muhimu sana kufanya kazi kwa bidii bila kukata tamaa inawezekana kabisa kutoboa bila kua na sense ya kuiba au kuibiwa 🐒
 
Ni kawaida kwenye maisha yetu watanzania: Tukiona mtu mweusi ana hela tutahoji sana, ila akiwa mzungu, mwarabu, muhindi ama shombeshombe hatuoji, tunaamini ni pesa zao halali na tutafosi tu narratives kwamba wajomba zake wana visima au ana undugu na Bush, Obama na kadhalika.

Kwahiyo wewe kama kama kiongozi, ukiiba pesa peleka kwa hiyo jamii huku ukimonitor taratibu.
Hayo ni maoni yako wewe kama wewe. Kuna weusi wana deals safi, kuna weusi wana deals chafu. Kuna wazungu, Waarabu, Wahindi wana deals safi na wapo wenye deals chafu.
 
Back
Top Bottom