green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi baada ya ukarabati zimechezwa game ngapi hapo kwa Mkapa.Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!
Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na kuuza mazao yao.
Pesa hiyo inapatikana, Kiongozi anaidhinisha itumike kukarabati Uwanja wa taifa, Kisha anakwea ndege huyoooo anaenda kula bata na kuzunguka UK.
Swali fikirishi; Ingekuwa fedha hizo umetafuta kwa jasho lako na umeamua kujenga nyumba yako, Ungewalipa mafundi na kuondoka zako! Jibu ni HAPANA. Lazima ungesimamia ujenzi mwanzo mwisho na kujibana kuhakikisha hakuna senti inapotea! Ila kwakuwa ni kazi ya umma wa watanzania, Hakuna anayejali.
MUNGU IBARIKI AFRIKA
..hivi kuna siku uwanja wa Azam ulishafungiwa sabab ya ubora..? Haya mambo ya viwanja vya michezo ni biashara, sekta binafsi ndio wanapaswa kujenga viwanja na kuviendesha..serikali wanashindwa kusimamia kiwanja kimoja hivyo wanavyoongeza arusha na dodoma wataweza..?Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!
Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na kuuza mazao yao.
Pesa hiyo inapatikana, Kiongozi anaidhinisha itumike kukarabati Uwanja wa taifa, Kisha anakwea ndege huyoooo anaenda kula bata na kuzunguka UK.
Swali fikirishi; Ingekuwa fedha hizo umetafuta kwa jasho lako na umeamua kujenga nyumba yako, Ungewalipa mafundi na kuondoka zako! Jibu ni HAPANA. Lazima ungesimamia ujenzi mwanzo mwisho na kujibana kuhakikisha hakuna senti inapotea! Ila kwakuwa ni kazi ya umma wa watanzania, Hakuna anayejali.
MUNGU IBARIKI AFRIKA
Sawa naelewa, Najua tangu 2023 mmeshakarabati vyoo ili mchezo wa kwenda kutoa haja ndogo uweze kuendelea.Hivi unajua unachoongea wewe,uwanja bado upo kwenye ukarabati,vipo vybo ambavyo vinasimamia ukarabati huo,kuhusu uwanja kufungiwa ni kitu cha kawaida,hiyo pitch bado ipo kwenye matengenezo,muwe wavumilivu siyo kutoa lawama wakati wala hujui chochote
sasa CAF walienda kukagua nini hiyo moja na pili Serikali, TFF, na Simba kwanini wapendekeze uwanja ambao upo ktk ukarabati ili kucheza mechi yao...yani kitu umepeleka kwa fundi hakijapona unataka kuanza kukitumia inaingia akilini hiyobro uwanja bado upo kwenye ukarabati kazi haijaisha,tuwe wavumilivu
Kauli ya kipumbavu sana hiiWatanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!
Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na kuuza mazao yao.
Pesa hiyo inapatikana, Kiongozi anaidhinisha itumike kukarabati Uwanja wa taifa, Kisha anakwea ndege huyoooo anaenda kula bata na kuzunguka UK.
Swali fikirishi; Ingekuwa fedha hizo umetafuta kwa jasho lako na umeamua kujenga nyumba yako, Ungewalipa mafundi na kuondoka zako! Jibu ni HAPANA. Lazima ungesimamia ujenzi mwanzo mwisho na kujibana kuhakikisha hakuna senti inapotea! Ila kwakuwa ni kazi ya umma wa watanzania, Hakuna anayejali.
Huo ni mfano kwa mradi huu mmoja wa pesa nyingi kiasi, vipi kuhusu hiyo miradi mingine mikubwa??
MUNGU IBARIKI AFRIKA
YAANI UJINGA MWINGINE NI MZIGO HUMO KICHWANI BORA UNGEKUWA NA KINYESI KULIKO HIYO AKILI ULIYONAYO HIVI HATA UNGEKUWA WEWE NCHI YOTE HII MIRADI YOTE HII UNAWEZA KUSIMAMIA PEKE YAKO ? NDIYO MAANA YA KUWA NA WASAIDIZI ANAOWAAMBINI ACHA UJINGA WEWEU RAIS NI TAASISI SIYO YA MTU MMOJAWatanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!
Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na kuuza mazao yao.
Pesa hiyo inapatikana, Kiongozi anaidhinisha itumike kukarabati Uwanja wa taifa, Kisha anakwea ndege huyoooo anaenda kula bata na kuzunguka UK.
Swali fikirishi; Ingekuwa fedha hizo umetafuta kwa jasho lako na umeamua kujenga nyumba yako, Ungewalipa mafundi na kuondoka zako! Jibu ni HAPANA. Lazima ungesimamia ujenzi mwanzo mwisho na kujibana kuhakikisha hakuna senti inapotea! Ila kwakuwa ni kazi ya umma wa watanzania, Hakuna anayejali.
Huo ni mfano kwa mradi huu mmoja wa pesa nyingi kiasi, vipi kuhusu hiyo miradi mingine mikubwa??
MUNGU IBARIKI AFRIKA
Hawa ndiyo Vijana WAPUMBAVU na WAJINGA ambao Nyerere alitamani wauwawe. Bomba la Maji likizinguliwa utasikia Hongera na 'Asante Mama' Hautasikia asante waziri au mkuu wa wilaya. Ila akikosolewa utasikia 'Mama anahusikaje?' Haujui yeye ndiye Msimamizi mkuu wa Serikali yake? Kufuatilia matumizi ya serikali hawezi ila ziara za kwenda Norway na Marekani na hafla + mialiko yuko mstari wa mbele.Aliyeshindwa kuiwajibisha serikali yake anapaswa kuwajibika.Kauli ya kipumbavu sana hii
Yaani rais akague uwanja
Hapo waziri husika na taasisi zake ndio wawajibishwe
Watanzania wa huku sijui tumekuaje
Tena watumishi wa serikali wa chini ndio wanaumia imagine myu anakatwa kodi laki nane kwenye mshahara wa milion tatuWatanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!
Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na kuuza mazao yao.
Pesa hiyo inapatikana, Kiongozi anaidhinisha itumike kukarabati Uwanja wa taifa, Kisha anakwea ndege huyoooo anaenda kula bata na kuzunguka UK.
Swali fikirishi; Ingekuwa fedha hizo umetafuta kwa jasho lako na umeamua kujenga nyumba yako, Ungewalipa mafundi na kuondoka zako! Jibu ni HAPANA. Lazima ungesimamia ujenzi mwanzo mwisho na kujibana kuhakikisha hakuna senti inapotea! Ila kwakuwa ni kazi ya umma wa watanzania, Hakuna anayejali.
Huo ni mfano kwa mradi huu mmoja wa pesa nyingi kiasi, vipi kuhusu hiyo miradi mingine mikubwa??
MUNGU IBARIKI AFRIKA
ukarabati miaka mitatu!, niambie ule uwanja wa Rwanda umetumia muda gani wa matengenezo?Hivi unajua unachoongea wewe,uwanja bado upo kwenye ukarabati,vipo vybo ambavyo vinasimamia ukarabati huo,kuhusu uwanja kufungiwa ni kitu cha kawaida,hiyo pitch bado ipo kwenye matengenezo,muwe wavumilivu siyo kutoa lawama wakati wala hujui chochote
Hawa ndiyo Vijana WAPUMBAVU na WAJINGA ambao Nyerere alitamani wauwawe. Bomba la Maji likizinguliwa utasikia Hongera na 'Asante Mama' Hautasikia asante waziri au mkuu wa wilaya. Ila akikosolewa utasikia 'Mama anahusikaje?' Haujui yeye ndiye Msimamizi mkuu wa Serikali yake? Kufuatilia matumizi ya serikali hawezi ila ziara za kwenda Norway na Marekani na hafla + mialiko yuko mstari wa mbele.Aliyeshindwa kuiwajibisha serikali yake anapaswa kuwajibika.YAANI UJINGA MWINGINE NI MZIGO HUMO KICHWANI BORA UNGEKUWA NA KINYESI KULIKO HIYO AKILI ULIYONAYO HIVI HATA UNGEKUWA WEWE NCHI YOTE HII MIRADI YOTE HII UNAWEZA KUSIMAMIA PEKE YAKO ? NDIYO MAANA YA KUWA NA WASAIDIZI ANAOWAAMBINI ACHA UJINGA WEWEU RAIS NI TAASISI SIYO YA MTU MMOJA
Tuambie wewe kazi ya Rais nini, kwa hiyo akishatoa fedha hata afuatilii tena kinachoendelea au sio, Tumeambiwa pesa katoa Rais, mbona hawakusema pesa katoa waziri?Kauli ya kipumbavu sana hii
Yaani rais akague uwanja
Hapo waziri husika na taasisi zake ndio wawajibishwe
Watanzania wa huku sijui tumekuaje
mbona kwenye sifa ni Rais tu ndio anatatwa utasikia Rais katoa Bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa uwanja ila kwenye lawama yeye asiwemo, na je mbona huwa hamsemi waziri katoa bilion 30 ila kwenye lawama walaumiwe wengine, kwan kwenye nchi mwenye maamuzi ya juu ni hao unawaita wasaidizi wake au yeyeYAANI UJINGA MWINGINE NI MZIGO HUMO KICHWANI BORA UNGEKUWA NA KINYESI KULIKO HIYO AKILI ULIYONAYO HIVI HATA UNGEKUWA WEWE NCHI YOTE HII MIRADI YOTE HII UNAWEZA KUSIMAMIA PEKE YAKO ? NDIYO MAANA YA KUWA NA WASAIDIZI ANAOWAAMBINI ACHA UJINGA WEWEU RAIS NI TAASISI SIYO YA MTU MMOJA
Nyie uwa mnatetea kila kitu chochote hata kama ni chakipumbavuHivi unajua unachoongea wewe,uwanja bado upo kwenye ukarabati,vipo vybo ambavyo vinasimamia ukarabati huo,kuhusu uwanja kufungiwa ni kitu cha kawaida,hiyo pitch bado ipo kwenye matengenezo,muwe wavumilivu siyo kutoa lawama wakati wala hujui chochote
Pale hakuna kazi ya kuchukua bilioni 33, ni wizi wa bi kidude na genge lakeWatanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!