Unaidhinisha zaidi ya Bilioni 30 kukarabati uwanja alafu haufuatilii unaendelea na shughuli zako.Huyo ndiye Mgombea anayeomba kurudi ikulu

Chawa hata akinya mavi laini utaskia "Asante Mama kwa kinyesi kilaini leo sijachuka kinyeo"
 
Attachments

  • Screenshot_20250310-110307~2.png
    Screenshot_20250310-110307~2.png
    1 MB · Views: 1
Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!

Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na kuuza mazao yao.

Pesa hiyo inapatikana, Kiongozi anaidhinisha itumike kukarabati Uwanja wa taifa, Kisha anakwea ndege huyoooo anaenda kula bata na kuzunguka UK.

Swali fikirishi; Ingekuwa fedha hizo umetafuta kwa jasho lako na umeamua kujenga nyumba yako, Ungewalipa mafundi na kuondoka zako! Jibu ni HAPANA. Lazima ungesimamia ujenzi mwanzo mwisho na kujibana kuhakikisha hakuna senti inapotea! Ila kwakuwa ni kazi ya umma wa watanzania, Hakuna anayejali.

MUNGU IBARIKI AFRIKA
Hivi baada ya ukarabati zimechezwa game ngapi hapo kwa Mkapa.
 
..hivi kuna siku uwanja wa Azam ulishafungiwa sabab ya ubora..? Haya mambo ya viwanja vya michezo ni biashara, sekta binafsi ndio wanapaswa kujenga viwanja na kuviendesha..serikali wanashindwa kusimamia kiwanja kimoja hivyo wanavyoongeza arusha na dodoma wataweza..?
 
Hivi unajua unachoongea wewe,uwanja bado upo kwenye ukarabati,vipo vybo ambavyo vinasimamia ukarabati huo,kuhusu uwanja kufungiwa ni kitu cha kawaida,hiyo pitch bado ipo kwenye matengenezo,muwe wavumilivu siyo kutoa lawama wakati wala hujui chochote
Sawa naelewa, Najua tangu 2023 mmeshakarabati vyoo ili mchezo wa kwenda kutoa haja ndogo uweze kuendelea.
 
bro uwanja bado upo kwenye ukarabati kazi haijaisha,tuwe wavumilivu
sasa CAF walienda kukagua nini hiyo moja na pili Serikali, TFF, na Simba kwanini wapendekeze uwanja ambao upo ktk ukarabati ili kucheza mechi yao...yani kitu umepeleka kwa fundi hakijapona unataka kuanza kukitumia inaingia akilini hiyo
 
Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!

Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na kuuza mazao yao.

Pesa hiyo inapatikana, Kiongozi anaidhinisha itumike kukarabati Uwanja wa taifa, Kisha anakwea ndege huyoooo anaenda kula bata na kuzunguka UK.

Swali fikirishi; Ingekuwa fedha hizo umetafuta kwa jasho lako na umeamua kujenga nyumba yako, Ungewalipa mafundi na kuondoka zako! Jibu ni HAPANA. Lazima ungesimamia ujenzi mwanzo mwisho na kujibana kuhakikisha hakuna senti inapotea! Ila kwakuwa ni kazi ya umma wa watanzania, Hakuna anayejali.

Huo ni mfano kwa mradi huu mmoja wa pesa nyingi kiasi, vipi kuhusu hiyo miradi mingine mikubwa??

MUNGU IBARIKI AFRIKA
Kauli ya kipumbavu sana hii

Yaani rais akague uwanja

Hapo waziri husika na taasisi zake ndio wawajibishwe

Watanzania wa huku sijui tumekuaje
 
YAANI UJINGA MWINGINE NI MZIGO HUMO KICHWANI BORA UNGEKUWA NA KINYESI KULIKO HIYO AKILI ULIYONAYO HIVI HATA UNGEKUWA WEWE NCHI YOTE HII MIRADI YOTE HII UNAWEZA KUSIMAMIA PEKE YAKO ? NDIYO MAANA YA KUWA NA WASAIDIZI ANAOWAAMBINI ACHA UJINGA WEWEU RAIS NI TAASISI SIYO YA MTU MMOJA
 
Hawa ndiyo Vijana WAPUMBAVU na WAJINGA ambao Nyerere alitamani wauwawe. Bomba la Maji likizinguliwa utasikia Hongera na 'Asante Mama' Hautasikia asante waziri au mkuu wa wilaya. Ila akikosolewa utasikia 'Mama anahusikaje?' Haujui yeye ndiye Msimamizi mkuu wa Serikali yake? Kufuatilia matumizi ya serikali hawezi ila ziara za kwenda Norway na Marekani na hafla + mialiko yuko mstari wa mbele.Aliyeshindwa kuiwajibisha serikali yake anapaswa kuwajibika.
 
Tena watumishi wa serikali wa chini ndio wanaumia imagine myu anakatwa kodi laki nane kwenye mshahara wa milion tatu
 
Hivi unajua unachoongea wewe,uwanja bado upo kwenye ukarabati,vipo vybo ambavyo vinasimamia ukarabati huo,kuhusu uwanja kufungiwa ni kitu cha kawaida,hiyo pitch bado ipo kwenye matengenezo,muwe wavumilivu siyo kutoa lawama wakati wala hujui chochote
ukarabati miaka mitatu!, niambie ule uwanja wa Rwanda umetumia muda gani wa matengenezo?
 
Hii nchi kuna watu wanafaidi sana kupitia hivi vitendo vya wizi/ rushwa/ufisadi/ upigaji.
 
YAANI UJINGA MWINGINE NI MZIGO HUMO KICHWANI BORA UNGEKUWA NA KINYESI KULIKO HIYO AKILI ULIYONAYO HIVI HATA UNGEKUWA WEWE NCHI YOTE HII MIRADI YOTE HII UNAWEZA KUSIMAMIA PEKE YAKO ? NDIYO MAANA YA KUWA NA WASAIDIZI ANAOWAAMBINI ACHA UJINGA WEWEU RAIS NI TAASISI SIYO YA MTU MMOJA
Hawa ndiyo Vijana WAPUMBAVU na WAJINGA ambao Nyerere alitamani wauwawe. Bomba la Maji likizinguliwa utasikia Hongera na 'Asante Mama' Hautasikia asante waziri au mkuu wa wilaya. Ila akikosolewa utasikia 'Mama anahusikaje?' Haujui yeye ndiye Msimamizi mkuu wa Serikali yake? Kufuatilia matumizi ya serikali hawezi ila ziara za kwenda Norway na Marekani na hafla + mialiko yuko mstari wa mbele.Aliyeshindwa kuiwajibisha serikali yake anapaswa kuwajibika.
 
Kauli ya kipumbavu sana hii

Yaani rais akague uwanja

Hapo waziri husika na taasisi zake ndio wawajibishwe

Watanzania wa huku sijui tumekuaje
Tuambie wewe kazi ya Rais nini, kwa hiyo akishatoa fedha hata afuatilii tena kinachoendelea au sio, Tumeambiwa pesa katoa Rais, mbona hawakusema pesa katoa waziri?
 
YAANI UJINGA MWINGINE NI MZIGO HUMO KICHWANI BORA UNGEKUWA NA KINYESI KULIKO HIYO AKILI ULIYONAYO HIVI HATA UNGEKUWA WEWE NCHI YOTE HII MIRADI YOTE HII UNAWEZA KUSIMAMIA PEKE YAKO ? NDIYO MAANA YA KUWA NA WASAIDIZI ANAOWAAMBINI ACHA UJINGA WEWEU RAIS NI TAASISI SIYO YA MTU MMOJA
mbona kwenye sifa ni Rais tu ndio anatatwa utasikia Rais katoa Bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa uwanja ila kwenye lawama yeye asiwemo, na je mbona huwa hamsemi waziri katoa bilion 30 ila kwenye lawama walaumiwe wengine, kwan kwenye nchi mwenye maamuzi ya juu ni hao unawaita wasaidizi wake au yeye
 
Nilisikitika sana kwenye yale mamilion aliyoyasambaza nchi nzima kujenga vituo vya afya cha ajabu hakuna waliofatilia kuna baadhi ya vituo vya afya mpaka kiongoz wa mwenge aligoma kuviwekea jiwe la msingi cha ajabu hakuna alieshughulikiwa kutokana na hilo

Kuna baadhi ya vituo vya afya wakat wa ujenz material yalikuwa yanapotea hovyo,mara tofari za ujenzi zinasafirishwa km zaidi ya 30 kwenda site yaan ni mtu anapambana auze tofari zake kwa namna yoyote ile
 
Hivi unajua unachoongea wewe,uwanja bado upo kwenye ukarabati,vipo vybo ambavyo vinasimamia ukarabati huo,kuhusu uwanja kufungiwa ni kitu cha kawaida,hiyo pitch bado ipo kwenye matengenezo,muwe wavumilivu siyo kutoa lawama wakati wala hujui chochote
Nyie uwa mnatetea kila kitu chochote hata kama ni chakipumbavu
 
Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!

Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na kuuza mazao yao.

Pesa hiyo inapatikana, Kiongozi anaidhinisha itumike kukarabati Uwanja wa taifa, Kisha anakwea ndege huyoooo anaenda kula bata na kuzunguka UK.

Swali fikirishi; Ingekuwa fedha hizo umetafuta kwa jasho lako na umeamua kujenga nyumba yako, Ungewalipa mafundi na kuondoka zako! Jibu ni HAPANA. Lazima ungesimamia ujenzi mwanzo mwisho na kujibana kuhakikisha hakuna senti inapotea! Ila kwakuwa ni kazi ya umma wa watanzania, Hakuna anayejali.

Huo ni mfano kwa mradi huu mmoja wa pesa nyingi kiasi, vipi kuhusu hiyo miradi mingine mikubwa??

MUNGU IBARIKI AFRIKA
Pale hakuna kazi ya kuchukua bilioni 33, ni wizi wa bi kidude na genge lake
 
Back
Top Bottom