Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Tupo wachache na wenye bahati zao ndio wanaokuwa nasi [emoji6].[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanawake kama nyie mko wapi jamani hamna shida na pesa ila material tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo wachache na wenye bahati zao ndio wanaokuwa nasi [emoji6].[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanawake kama nyie mko wapi jamani hamna shida na pesa ila material tu.
Mkuu hilo ndilo tatizo kubwa la CocaCola za hapa Tanzania, mwanzo nilifikiri hawa watu wanatuima Super Sugar na si industrial Sugar au wanataka ku maximise profit kwa kuweka kiwango kidogo cha CocaCola concentrates na kuongeza sukari lukuki ili wazalishe idadi kubwa ya crate za soda per shift!!
Yaani owners wa CocaCola wakitoka Atlanta na kufanya ziara ya kushtukiza kwenye viwanda vya Coca hapa nchini baadhi yao watavifungilia mbali au kuwanyima franchise - vinafanya usanii sana.
Nahisi labda n aina za maji coz hata coca ya bonitte n tofaut kidogo na ya coca kwanza.
Hata mimi nina mashaka sana.Hamna cha siri yoyote? Ni consparacy tupu, wakemia wote waliopo duniani washindwe kugundua imetengenezwaje? Ni uongo mtupu
Mkuu naomba unieleweshe! Kwamfano wakija wakagusi kutoka makao makuu wanaweza kukifungia kiwanda cha cha Mzee Mengi? au watamfutia hati miliki ya kutotumia jina la cocacola?Mkuu hilo ndilo tatizo kubwa la CocaCola za hapa Tanzania, mwanzo nilifikiri hawa watu wanatuima Super Sugar na si industrial Sugar au wanataka ku maximise profit kwa kuweka kiwango kidogo cha CocaCola concentrates na kuongeza sukari lukuki ili wazalishe idadi kubwa ya crate za soda per shift!!
Yaani owners wa CocaCola wakitoka Atlanta na kufanya ziara ya kushtukiza kwenye viwanda vya Coca hapa nchini baadhi yao watavifungilia mbali au kuwanyima franchise - vinafanya usanii sana.
mkuu ndio maana nilisema wana hati miliki yenye sheria kali ambayo watu wanaogopa kui copy !! thats all hakuna miujiza hakuna siri...[emoji3]Hamna cha siri yoyote? Ni consparacy tupu, wakemia wote waliopo duniani washindwe kugundua imetengenezwaje? Ni uongo mtupu
Utakuwa unawaza mambo ya freemason tuNa kuna kingine kuhusu marketing yake wakati inaanzishwa.. Watu waliipinga kwa kuina kitu cheusi kinawezaje kukata kiu,
Pia zile fonts zake za logo ya coca cola zinamaanisha kitu kingine cha kimafumbo wanajua wenyewe maana yake
Patent na copyright ndo zinawalinda.mkuu ndio maana nilisema wana hati miliki yenye sheria kali ambayo watu wanaogopa kui copy !! thats all hakuna miujiza hakuna siri...[emoji3]
Mi naona licha ya kufanya ziara ya kushtukiza huko viwandani, hata tuseme wakiingia kitaa kujinunulia tu kama wateja wa kawaida, watazibaini hizo tofauti kiurahisi sana.
Na naamini wanalijua hilo maana ukienda pale World of Coca-Cola utakuta maelezo yanayoelezea utofauti wa bidhaa zao kulingana na maeneo husika kwa sababu masoko ndo hu determine bidhaa iweje kwenye soko flani.
Kuhusu hilo la secret recipe...huenda ikawa ni marketing ploy ya kujenga mystique flani juu ya bidhaa yao.
Kwa hiyo huenda wala hamna secret recipe yoyote ile ila tunaambiwa tu kuna 'closely guarded secret' ili kujenga hiyo mystique na hiyo mystique ndo inajenga mvuto na huo mvuto ndo unajenga raghba [interest].
Na hiyo raghba ndo inaongeza biashara. Na biashara inapoongezeka faida nayo inakua.
Hao jamaa usikute wanacheza tu na akili za watu maana kama ulivyosema, yaani kweli kabisa pamoja na maendeleo yote haya ya kisayansi wakemia wasijue vilivyomo kwenye hicho kinywaji?
Ngumu sana kuamini hiyo. Ndo maana nahisi huenda suala zima likawa ni marketing ploy tu.
Mkuu Vitu vilivyomo umaweza kuvijua maabara kwa kutumia HPLC (High perfomance liquid chromatograph), ila hauwezi kujua exactly formula iliyotumika labda tu upate nearest approximation.Mi naona licha ya kufanya ziara ya kushtukiza huko viwandani, hata tuseme wakiingia kitaa kujinunulia tu kama wateja wa kawaida, watazibaini hizo tofauti kiurahisi sana.
Na naamini wanalijua hilo maana ukienda pale World of Coca-Cola utakuta maelezo yanayoelezea utofauti wa bidhaa zao kulingana na maeneo husika kwa sababu masoko ndo hu determine bidhaa iweje kwenye soko flani.
Kuhusu hilo la secret recipe...huenda ikawa ni marketing ploy ya kujenga mystique flani juu ya bidhaa yao.
Kwa hiyo huenda wala hamna secret recipe yoyote ile ila tunaambiwa tu kuna 'closely guarded secret' ili kujenga hiyo mystique na hiyo mystique ndo inajenga mvuto na huo mvuto ndo unajenga raghba [interest].
Na hiyo raghba ndo inaongeza biashara. Na biashara inapoongezeka faida nayo inakua.
Hao jamaa usikute wanacheza tu na akili za watu maana kama ulivyosema, yaani kweli kabisa pamoja na maendeleo yote haya ya kisayansi wakemia wasijue vilivyomo kwenye hicho kinywaji?
Ngumu sana kuamini hiyo. Ndo maana nahisi huenda suala zima likawa ni marketing ploy tu.
Kuna kipindi nilienda Bonite BL, wakasema sukari wanayotumia ni ya SA ambayo walionesha na ilikuwa nyeupe mithili ya glucose powder.Kwa jinsi nilivyofikiri, sukari inayotumika kutengeneza Coca cola Bonite ni sawa na ile ya SA.Mkuu hilo ndilo tatizo kubwa la CocaCola za hapa Tanzania, mwanzo nilifikiri hawa watu wanatuima Super Sugar na si industrial Sugar au wanataka ku maximise profit kwa kuweka kiwango kidogo cha CocaCola concentrates na kuongeza sukari lukuki ili wazalishe idadi kubwa ya crate za soda per shift!!
Yaani owners wa CocaCola wakitoka Atlanta na kufanya ziara ya kushtukiza kwenye viwanda vya Coca hapa nchini baadhi yao watavifungilia mbali au kuwanyima franchise - vinafanya usanii sana.
Onja tu Maji ya Ulaya na Tanzania ni tofautiMkuu sijui kama viwanda vyote vinaheshimu taratibu na viwango vilivyo wekwa na CocaCola, jaribu kununua CocaCola kutoka Supermarkets za Ulaya njoo nayo Tanzania (au nunua Tanzania CocaCola za nje zilizo jazwa kwenye chupa za plastic), nunua CocaCola kutoka Viwanda vya Ndola Zambia sasa linganisha taste zake utaona zina ladha tofauti kabisa.
you have hit the bull point !!Patent na copyright ndo zinawalinda.
Ila suala la usiri mimi nasita kuliamini.
Coke na Pepsi wala hazina tofauti kubwa.
Zote ni cola drinks na zote ni carbonated.
Ila kwa ajili ya mambo ya patent na hakimiliki, Pepsi ni lazima waweke utofauti kidogo kwenye hiyo bidhaa yao.
Pia kibiashara nayo ni vyema kuweka kautofauti ili usije kutuhumiwa unaiga.
Lakini kimsingi ni bidhaa ileile tu.
Mkuu sidhani kama umekosea au upo sahihi, lakini kuleta factor ya water variation pia sidhani kama ni sahihi.mkuu, jaribu kufikiria hata hapa kwetu ukinywa maji ya mkoa fulani halafu ukaenda kunywa ya mkoa mwingine, utahisi tofauti. sasa kwenye chemical reaction hiyo ni zaidi nafikiri, katika reaction ya chemical drop moja tu hutoa majibu tofauti kabisa. kama nimekosea naomba kurekebishwa..!