Unaifahamu vipi CocaCola?

Unaifahamu vipi CocaCola?

Mkuu hilo ndilo tatizo kubwa la CocaCola za hapa Tanzania, mwanzo nilifikiri hawa watu wanatuima Super Sugar na si industrial Sugar au wanataka ku maximise profit kwa kuweka kiwango kidogo cha CocaCola concentrates na kuongeza sukari lukuki ili wazalishe idadi kubwa ya crate za soda per shift!!

Yaani owners wa CocaCola wakitoka Atlanta na kufanya ziara ya kushtukiza kwenye viwanda vya Coca hapa nchini baadhi yao watavifungilia mbali au kuwanyima franchise - vinafanya usanii sana.

Mi naona licha ya kufanya ziara ya kushtukiza huko viwandani, hata tuseme wakiingia kitaa kujinunulia tu kama wateja wa kawaida, watazibaini hizo tofauti kiurahisi sana.

Na naamini wanalijua hilo maana ukienda pale World of Coca-Cola utakuta maelezo yanayoelezea utofauti wa bidhaa zao kulingana na maeneo husika kwa sababu masoko ndo hu determine bidhaa iweje kwenye soko flani.

Kuhusu hilo la secret recipe...huenda ikawa ni marketing ploy ya kujenga mystique flani juu ya bidhaa yao.

Kwa hiyo huenda wala hamna secret recipe yoyote ile ila tunaambiwa tu kuna 'closely guarded secret' ili kujenga hiyo mystique na hiyo mystique ndo inajenga mvuto na huo mvuto ndo unajenga raghba [interest].

Na hiyo raghba ndo inaongeza biashara. Na biashara inapoongezeka faida nayo inakua.

Hao jamaa usikute wanacheza tu na akili za watu maana kama ulivyosema, yaani kweli kabisa pamoja na maendeleo yote haya ya kisayansi wakemia wasijue vilivyomo kwenye hicho kinywaji?

Ngumu sana kuamini hiyo. Ndo maana nahisi huenda suala zima likawa ni marketing ploy tu.
 
Na hao watu wawili hawaruhusiwi kuwa katika bara moja kwa pamoja, kupanda chombo cha usafiri kimoja wala kuwasiliana.. Ni ajabu sana
 
Nahisi labda n aina za maji coz hata coca ya bonitte n tofaut kidogo na ya coca kwanza.

Hapana mkuu, CocaCola za Tanzania wanaweka sukari mno ku-mask upungufu wa concentrate za CocaCola sijui kama wanafuata to the letter viwango vinavyo pendekezwa na kumpuni mama ya CocaCola - kuna walakini sana.
 
Na kuna kingine kuhusu marketing yake wakati inaanzishwa.. Watu waliipinga kwa kuina kitu cheusi kinawezaje kukata kiu,

Pia zile fonts zake za logo ya coca cola zinamaanisha kitu kingine cha kimafumbo wanajua wenyewe maana yake
 
Hamna cha siri yoyote? Ni consparacy tupu, wakemia wote waliopo duniani washindwe kugundua imetengenezwaje? Ni uongo mtupu
 
Hata mimi nina mashaka sana.

Yaani watu washindwe hata reverse engineering ya kujua vilivyomo?
 
Nafikiri trade mark ndio inalinda hii biashara kwa wakemia woote duniani washindwe kugundua formula ya coca, mmmhh wkt hapo sinza kigwangwala aligundua kiwanda cha lusekelo fuul package.
 
Mkuu hilo ndilo tatizo kubwa la CocaCola za hapa Tanzania, mwanzo nilifikiri hawa watu wanatuima Super Sugar na si industrial Sugar au wanataka ku maximise profit kwa kuweka kiwango kidogo cha CocaCola concentrates na kuongeza sukari lukuki ili wazalishe idadi kubwa ya crate za soda per shift!!

Yaani owners wa CocaCola wakitoka Atlanta na kufanya ziara ya kushtukiza kwenye viwanda vya Coca hapa nchini baadhi yao watavifungilia mbali au kuwanyima franchise - vinafanya usanii sana.
Mkuu naomba unieleweshe! Kwamfano wakija wakagusi kutoka makao makuu wanaweza kukifungia kiwanda cha cha Mzee Mengi? au watamfutia hati miliki ya kutotumia jina la cocacola?

Na je cocacola wanapataje hela wakati kiwanda ni cha Mengi? au kuna hela wanamtoza kutoka kwa Mengi?
 
Hamna cha siri yoyote? Ni consparacy tupu, wakemia wote waliopo duniani washindwe kugundua imetengenezwaje? Ni uongo mtupu
mkuu ndio maana nilisema wana hati miliki yenye sheria kali ambayo watu wanaogopa kui copy !! thats all hakuna miujiza hakuna siri...[emoji3]
 
Na kuna kingine kuhusu marketing yake wakati inaanzishwa.. Watu waliipinga kwa kuina kitu cheusi kinawezaje kukata kiu,

Pia zile fonts zake za logo ya coca cola zinamaanisha kitu kingine cha kimafumbo wanajua wenyewe maana yake
Utakuwa unawaza mambo ya freemason tu
 
mkuu ndio maana nilisema wana hati miliki yenye sheria kali ambayo watu wanaogopa kui copy !! thats all hakuna miujiza hakuna siri...[emoji3]
Patent na copyright ndo zinawalinda.

Ila suala la usiri mimi nasita kuliamini.

Coke na Pepsi wala hazina tofauti kubwa.

Zote ni cola drinks na zote ni carbonated.

Ila kwa ajili ya mambo ya patent na hakimiliki, Pepsi ni lazima waweke utofauti kidogo kwenye hiyo bidhaa yao.

Pia kibiashara nayo ni vyema kuweka kautofauti ili usije kutuhumiwa unaiga.

Lakini kimsingi ni bidhaa ileile tu.
 
Mi naona licha ya kufanya ziara ya kushtukiza huko viwandani, hata tuseme wakiingia kitaa kujinunulia tu kama wateja wa kawaida, watazibaini hizo tofauti kiurahisi sana.

Na naamini wanalijua hilo maana ukienda pale World of Coca-Cola utakuta maelezo yanayoelezea utofauti wa bidhaa zao kulingana na maeneo husika kwa sababu masoko ndo hu determine bidhaa iweje kwenye soko flani.

Kuhusu hilo la secret recipe...huenda ikawa ni marketing ploy ya kujenga mystique flani juu ya bidhaa yao.

Kwa hiyo huenda wala hamna secret recipe yoyote ile ila tunaambiwa tu kuna 'closely guarded secret' ili kujenga hiyo mystique na hiyo mystique ndo inajenga mvuto na huo mvuto ndo unajenga raghba [interest].

Na hiyo raghba ndo inaongeza biashara. Na biashara inapoongezeka faida nayo inakua.

Hao jamaa usikute wanacheza tu na akili za watu maana kama ulivyosema, yaani kweli kabisa pamoja na maendeleo yote haya ya kisayansi wakemia wasijue vilivyomo kwenye hicho kinywaji?

Ngumu sana kuamini hiyo. Ndo maana nahisi huenda suala zima likawa ni marketing ploy tu.

Nyani Ngabu kwa ubora wake, thanks a lot kwa uchambuzi wako.
 
Mkuu Vitu vilivyomo umaweza kuvijua maabara kwa kutumia HPLC (High perfomance liquid chromatograph), ila hauwezi kujua exactly formula iliyotumika labda tu upate nearest approximation.
Kumbuka formula ni kitu sensitive sana kiasi kwamba compound yenye Carbon 6 halafu wewe ukaikosea ukaweka carbon 7 basi utakuwa umepata kitu kingine tofauti kabisa.
 
Tafauti ni Maji na sukari inayo changanywa na syrup ya Coca-Cola mfano ladha ya Maji ya Moshi ni tafauti na ya Dar. ndio hapo unaweza u kakuta Coca-Cola ya eneo fulani nitamu sana au ina ladha ya chumvi nk.
 
Mkuu hilo ndilo tatizo kubwa la CocaCola za hapa Tanzania, mwanzo nilifikiri hawa watu wanatuima Super Sugar na si industrial Sugar au wanataka ku maximise profit kwa kuweka kiwango kidogo cha CocaCola concentrates na kuongeza sukari lukuki ili wazalishe idadi kubwa ya crate za soda per shift!!

Yaani owners wa CocaCola wakitoka Atlanta na kufanya ziara ya kushtukiza kwenye viwanda vya Coca hapa nchini baadhi yao watavifungilia mbali au kuwanyima franchise - vinafanya usanii sana.
Kuna kipindi nilienda Bonite BL, wakasema sukari wanayotumia ni ya SA ambayo walionesha na ilikuwa nyeupe mithili ya glucose powder.Kwa jinsi nilivyofikiri, sukari inayotumika kutengeneza Coca cola Bonite ni sawa na ile ya SA.
Tofauti zilizopo pengine na Labda yale material yanayotoka Coca cola HQ yana ubora tofauti yanayouzwa kwa bei tofauti......Maana conditions zote za kiwanda zitakuwa sawa.
 
Mkuu sijui kama viwanda vyote vinaheshimu taratibu na viwango vilivyo wekwa na CocaCola, jaribu kununua CocaCola kutoka Supermarkets za Ulaya njoo nayo Tanzania (au nunua Tanzania CocaCola za nje zilizo jazwa kwenye chupa za plastic), nunua CocaCola kutoka Viwanda vya Ndola Zambia sasa linganisha taste zake utaona zina ladha tofauti kabisa.
Onja tu Maji ya Ulaya na Tanzania ni tofauti
Formula ni ileile,..maji hamna namnaa lazima yawe tofauti
 
Patent na copyright ndo zinawalinda.

Ila suala la usiri mimi nasita kuliamini.

Coke na Pepsi wala hazina tofauti kubwa.

Zote ni cola drinks na zote ni carbonated.

Ila kwa ajili ya mambo ya patent na hakimiliki, Pepsi ni lazima waweke utofauti kidogo kwenye hiyo bidhaa yao.

Pia kibiashara nayo ni vyema kuweka kautofauti ili usije kutuhumiwa unaiga.

Lakini kimsingi ni bidhaa ileile tu.
you have hit the bull point !!
 
mkuu, jaribu kufikiria hata hapa kwetu ukinywa maji ya mkoa fulani halafu ukaenda kunywa ya mkoa mwingine, utahisi tofauti. sasa kwenye chemical reaction hiyo ni zaidi nafikiri, katika reaction ya chemical drop moja tu hutoa majibu tofauti kabisa. kama nimekosea naomba kurekebishwa..!
Mkuu sidhani kama umekosea au upo sahihi, lakini kuleta factor ya water variation pia sidhani kama ni sahihi.
Kabla ya kutumia yale maji yanafanyiwa Hyper filtration kuondoa/ kupunguza madini yaliyopo kitu kitakayoyafanya yale maji kuwa pure water. Sijawahi kuhakikisha lakini sidhani kama wanatumia distilled water au raw water.
 
Back
Top Bottom