Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Nashukuru sana kiongozi. Barcelona ya kipindi hicho haikuwa tamu ki-hivyo.
From 2008_2015 ndio ilikuwa tamu zaidi, tukumbuke pia na wachezaji nao wana-mchango mkubwa sana tu ktk timu na si kocha alone,,, mbali na PEP Messi kaleta mabadiliko makubwa Barcelona, fundi wa Tik-tak ni yeye. Inshort MESSI ndie kila kitu pale. I know that haters hawatopendezewa nilichokiandika lakini ukweli ndio huo,,, wenye kununa wanune ikibidi hata wapusuke.
Barcelona inarudi kwenye Form
sio makosa ya kibinaadam..pale ndio ilikua mwanzo wa Barcelona kubebwa..refa alietakiwa kuchezesha aliugua ghafla..akawekwa refa ambaye mchana wa siku ya mechi alikua amevaa jezi ya barcelonaOtherwise, kuna maamuzi ya referee yaliwaumiza arsenal na kusababisha Barcelona wapate ushindi.
Naweza sema ni makosa ya kibinadamu tu, na sio kubebwa!
Nafikiri barca ya 2009 -2012 ilikuwa mojawapo ya timu bora kuwahi kutokea, kipindi messi anapiga goli 90 kwa mwaka , akiwapita pele 75 na G.Muller 85 kama sijakosea. Ilikuwa hatari na ukatungwa msemo wa “tumegusa kama barca” yan timu ikicheza vizuri basi inalinganishwa na barca. Barca ikawa reference ya soccer bora
messi wako akikutana na Chelsea ya kina drogba anakwama..refa lazma aingilie kati..wakati barce ya gaucho akina drogba wanakula NNE hvNashukuru sana kiongozi. Barcelona ya kipindi hicho haikuwa tamu ki-hivyo.
From 2008_2015 ndio ilikuwa tamu zaidi, tukumbuke pia na wachezaji nao wana-mchango mkubwa sana tu ktk timu na si kocha alone,,, mbali na PEP Messi kaleta mabadiliko makubwa mno Barcelona, fundi wa Tik-tak ni yeye. Timu ikizidiwa yeye ndie anaamua matokeo,,,Inshort MESSI ndie kila kitu pale. I know that haters hawatopendezewa nilichokiandika lakini ukweli ndio huo,,, wenye kununa wanune ikibidi hata wapusuke.
Barcelona inarudi kwenye Form
Lini chelsea ilikula nne kwa barca ya gaucho?messi wako akikutana na Chelsea ya kina drogba anakwama..refa lazma aingilie kati..wakati barce ya gaucho akina drogba wanakula NNE hv
Aloo umenikumbusha machungu mkuu, hii mechi ilinifanya niichukie sana michuano ya uefa champs league, yaani baada ya mechi kuisha sikuamini kabisa na ilichukua muda kuamini. Fara sana yule mu Hungary aliyochezesha hii mechi namuombeaga kifo mpaka leo!Hiki ni kikosi kilichoinyoa Arsenal katika fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya mwaka 2006 jijini Paris.
Chini ya mdachi Frank Rijkaard, Barcelona hii ilikuwa tamu sana kuliko hata ile ya Pep Guardiola.
Unakikumbuka kikosi hiki? unaikumbuka fainali ile ya 2006? je ni kweli Barca walibebwa ktk fainali ile? Karibuni mtiririke na kuserereka wadau...
Na hiki ndiko kilikuwa kikosi cha Arsenal
Cc;
Guasa Amboni
BlackPanther
Lizarazu
Kabisa barca aliyokuwa tishio mpaka akina Ferguson wakaanza kuikwepa ni ile ya 2009 hadi 2011.Nafikiri barca ya 2009 -2012 ilikuwa mojawapo ya timu bora kuwahi kutokea, kipindi messi anapiga goli 90 kwa mwaka , akiwapita pele 75 na G.Muller 85 kama sijakosea. Ilikuwa hatari na ukatungwa msemo wa “tumegusa kama barca” yan timu ikicheza vizuri basi inalinganishwa na barca. Barca ikawa reference ya soccer bora
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sio makosa ya kibinaadam..pale ndio ilikua mwanzo wa Barcelona kubebwa..refa alietakiwa kuchezesha aliugua ghafla..akawekwa refa ambaye mchana wa siku ya mechi alikua amevaa jezi ya barcelona
nikumbushe ile mechi gaucho anafunga huku anakata viuno..uwanja ukiwa umemwagiwa maji na kugeuka shamba LA mpunga..matokeo yalikuwaje?!Lini chelsea ilikula nne kwa barca ya gaucho?
Ile mechi barca ndio aliopigwa nne. Gaucho japo alifunga bao zuri ila kipigo kipo pale pale. Sasa messi hakufunga goli ila aliitoa chelsea na kwenda final kuchukua kombe.nikumbushe ile mechi gaucho anafunga huku anakata viuno..uwanja ukiwa umemwagiwa maji na kugeuka shamba LA mpunga..matokeo yalikuwaje?!
alibebwa..akasababisha drogba kutaka kumdunda refa..akafungiwa..baadae xavi alikuri kushika ndani ya 18..ila mungu mkubwa 2012 barce wakatolewa peupe huku wakionekana kukosa mbinuIle mechi barca ndio aliopigwa nne. Gaucho japo alifunga bao zuri ila kipigo kipo pale pale. Sasa messi hakufunga goli ila aliitoa chelsea na kwenda final kuchukua kombe.