Unaikumbuka Barcelona ya Frank Rijkaard?

Unaikumbuka Barcelona ya Frank Rijkaard?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Hiki ni kikosi kilichoinyoa Arsenal katika fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya mwaka 2006 jijini Paris.
Chini ya mdachi Frank Rijkaard, Barcelona hii ilikuwa tamu sana kuliko hata ile ya Pep Guardiola.
Unakikumbuka kikosi hiki? unaikumbuka fainali ile ya 2006? je ni kweli Barca walibebwa ktk fainali ile? Karibuni mtiririke na kuserereka wadau...
champions-league-semifinal-second-leg-season-20052006-fc-barcelona-vs-picture-id524314518

Na hiki ndiko kilikuwa kikosi cha Arsenal
78969595.jpg

Cc;
Guasa Amboni
BlackPanther
Lizarazu
 
Nashukuru sana kiongozi. Barcelona ya kipindi hicho haikuwa tamu ki-hivyo.

From 2008_2015 ndio ilikuwa tamu zaidi, tukumbuke pia na wachezaji nao wana-mchango mkubwa sana tu ktk timu na si kocha alone,,, mbali na PEP Messi kaleta mabadiliko makubwa mno Barcelona, fundi wa Tik-tak ni yeye. Timu ikizidiwa yeye ndie anaamua matokeo,,,Inshort MESSI ndie kila kitu pale. I know that haters hawatopendezewa nilichokiandika lakini ukweli ndio huo,,, wenye kununa wanune ikibidi hata wapusuke.

Barcelona inarudi kwenye Form
 
Nashukuru sana kiongozi. Barcelona ya kipindi hicho haikuwa tamu ki-hivyo.

From 2008_2015 ndio ilikuwa tamu zaidi, tukumbuke pia na wachezaji nao wana-mchango mkubwa sana tu ktk timu na si kocha alone,,, mbali na PEP Messi kaleta mabadiliko makubwa Barcelona, fundi wa Tik-tak ni yeye. Inshort MESSI ndie kila kitu pale. I know that haters hawatopendezewa nilichokiandika lakini ukweli ndio huo,,, wenye kununa wanune ikibidi hata wapusuke.

Barcelona inarudi kwenye Form

Nafikiri barca ya 2009 -2012 ilikuwa mojawapo ya timu bora kuwahi kutokea, kipindi messi anapiga goli 90 kwa mwaka , akiwapita pele 75 na G.Muller 85 kama sijakosea. Ilikuwa hatari na ukatungwa msemo wa “tumegusa kama barca” yan timu ikicheza vizuri basi inalinganishwa na barca. Barca ikawa reference ya soccer bora
 
Otherwise, kuna maamuzi ya referee yaliwaumiza arsenal na kusababisha Barcelona wapate ushindi.

Naweza sema ni makosa ya kibinadamu tu, na sio kubebwa!
sio makosa ya kibinaadam..pale ndio ilikua mwanzo wa Barcelona kubebwa..refa alietakiwa kuchezesha aliugua ghafla..akawekwa refa ambaye mchana wa siku ya mechi alikua amevaa jezi ya barcelona
 
Nafikiri barca ya 2009 -2012 ilikuwa mojawapo ya timu bora kuwahi kutokea, kipindi messi anapiga goli 90 kwa mwaka , akiwapita pele 75 na G.Muller 85 kama sijakosea. Ilikuwa hatari na ukatungwa msemo wa “tumegusa kama barca” yan timu ikicheza vizuri basi inalinganishwa na barca. Barca ikawa reference ya soccer bora

Hahahahaa Kabisa Mkuu island.
 
Nashukuru sana kiongozi. Barcelona ya kipindi hicho haikuwa tamu ki-hivyo.

From 2008_2015 ndio ilikuwa tamu zaidi, tukumbuke pia na wachezaji nao wana-mchango mkubwa sana tu ktk timu na si kocha alone,,, mbali na PEP Messi kaleta mabadiliko makubwa mno Barcelona, fundi wa Tik-tak ni yeye. Timu ikizidiwa yeye ndie anaamua matokeo,,,Inshort MESSI ndie kila kitu pale. I know that haters hawatopendezewa nilichokiandika lakini ukweli ndio huo,,, wenye kununa wanune ikibidi hata wapusuke.

Barcelona inarudi kwenye Form
messi wako akikutana na Chelsea ya kina drogba anakwama..refa lazma aingilie kati..wakati barce ya gaucho akina drogba wanakula NNE hv
 
Hiki ni kikosi kilichoinyoa Arsenal katika fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya mwaka 2006 jijini Paris.
Chini ya mdachi Frank Rijkaard, Barcelona hii ilikuwa tamu sana kuliko hata ile ya Pep Guardiola.
Unakikumbuka kikosi hiki? unaikumbuka fainali ile ya 2006? je ni kweli Barca walibebwa ktk fainali ile? Karibuni mtiririke na kuserereka wadau...
champions-league-semifinal-second-leg-season-20052006-fc-barcelona-vs-picture-id524314518

Na hiki ndiko kilikuwa kikosi cha Arsenal
78969595.jpg

Cc;
Guasa Amboni
BlackPanther
Lizarazu
Aloo umenikumbusha machungu mkuu, hii mechi ilinifanya niichukie sana michuano ya uefa champs league, yaani baada ya mechi kuisha sikuamini kabisa na ilichukua muda kuamini. Fara sana yule mu Hungary aliyochezesha hii mechi namuombeaga kifo mpaka leo!

Nikikumbuka milima tuliyopitaga mpaka tunafika fainali ule ubingwa ulistahili kuwa wetu, nakumbuka tulimtoa real Madrid tena ile galaticoz iliyokuwa na watu kama Ronoldo, Michael Owen,Robinho,Raul,Beckham na sio hii ya akina benzema. Tukamtoa na juventus liyekuwa mtawala wa ligi ya italy! Nusu fainali tukanusurika kwa Villarreal aliyokuwa tishio kule Spain... Yaani acha tu.

Mimi mpaka mpira unaanza nilikuwa sina wasi wasi kabisa nilijua Barcelona ni ronadinho pekee tu, na kweli Ebue na koro toure walimdhibiti sana ronadinho. Mambo yalikuja kuvurugika baada ya ile red card ya magumashi aloyopewa Lehmann. Ndio Barcelona wakaanza kucheza mpira wao, lakini pamoja na hivyo bado tuliwapiga goli na kuwakosa zingine nyingi tu.

Kuna huyu jamaa wa kuitwa Henrick Larsson huyu ndie aliyekuja kutuharibia sherehe kabisa sijui aliingia na dawa, yaani aliyoingia tu second touch akatoa assist kwa eto'o. Halafu Wenger nae alivyokuwa mwehu walivyochomoa akamtoa Fredrick Leunjberg akamwacha Alexender helb aliyokuwa anasumbuliwa tu na iniesta, tumepigwa goli la pili ana mtoa fabregas ana mleta flamin, nadhani alichanganyikiwa zaidi hata ya mashabaki.

Aisee ile mechi iliniuma sana lakini pia henry nae alitunyima ushindi sababu alipata clear chances kama tatu hivi yuko yeye na valdes halafu zote aliishia kumpa tu.

Anyway Niko Emirates hapa tunamkandamiza Spurs!
 
Nafikiri barca ya 2009 -2012 ilikuwa mojawapo ya timu bora kuwahi kutokea, kipindi messi anapiga goli 90 kwa mwaka , akiwapita pele 75 na G.Muller 85 kama sijakosea. Ilikuwa hatari na ukatungwa msemo wa “tumegusa kama barca” yan timu ikicheza vizuri basi inalinganishwa na barca. Barca ikawa reference ya soccer bora
Kabisa barca aliyokuwa tishio mpaka akina Ferguson wakaanza kuikwepa ni ile ya 2009 hadi 2011.

Lakini akikutana na arsenal mpira unapigwa mwingi sana na anaeshinda anashinda kwa shida
 
sio makosa ya kibinaadam..pale ndio ilikua mwanzo wa Barcelona kubebwa..refa alietakiwa kuchezesha aliugua ghafla..akawekwa refa ambaye mchana wa siku ya mechi alikua amevaa jezi ya barcelona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nikumbushe ile mechi gaucho anafunga huku anakata viuno..uwanja ukiwa umemwagiwa maji na kugeuka shamba LA mpunga..matokeo yalikuwaje?!
Ile mechi barca ndio aliopigwa nne. Gaucho japo alifunga bao zuri ila kipigo kipo pale pale. Sasa messi hakufunga goli ila aliitoa chelsea na kwenda final kuchukua kombe.
 
All
Ile mechi barca ndio aliopigwa nne. Gaucho japo alifunga bao zuri ila kipigo kipo pale pale. Sasa messi hakufunga goli ila aliitoa chelsea na kwenda final kuchukua kombe.
alibebwa..akasababisha drogba kutaka kumdunda refa..akafungiwa..baadae xavi alikuri kushika ndani ya 18..ila mungu mkubwa 2012 barce wakatolewa peupe huku wakionekana kukosa mbinu
 
Back
Top Bottom