Unaikumbuka Brazil hii ya mwisho kubeba Kombe la Dunia?

Unaikumbuka Brazil hii ya mwisho kubeba Kombe la Dunia?

Kwenye bench wapo Denilson na Kleberson.
Kleberson aling'aa sana kwenye michuano ile ya Kombe la Dunia la mwaka 2002 pale Korea Kusini na Japan. Kiasi cha kusajiliwa na Man Utd mara baada ya michuano.

Cha kushangaza alishindwa na akachemsha vibaya ndani ya Man Utd na akaishia kuondoka kimya kimya.
 
Nilihudhuria kwenye ndoa yao,,e bwana dem wangu alikula wiki-0. Akapokea 3 tena kutoka kwa mdutch. Safi sana
 
Kiukweli wakuu tulipokua wadogo wengi tuliipenda Brazil ila ukikua ndio unabadilika
 
mleta uziii safi sana mimi napenda unavyokumbusha tu SAINT GAUCHOOOOOO hatariiii hatariiii hapa sasa umpate yule mtangazaji JUMA NKAMIA gaucho anageuka gaucho anageresha anapiga tobo ,gaucho anaubetua kwa kisigino hatariii refa anacheka tu hapa yaani babu Corlina
 
Rivardo na Denilson alikuwa na chenga za kuchanganya miguu.
 
mleta uziii safi sana mimi napenda unavyokumbusha tu SAINT GAUCHOOOOOO hatariiii hatariiii hapa sasa umpate yule mtangazaji JUMA NKAMIA gaucho anageuka gaucho anageresha anapiga tobo ,gaucho anaubetua kwa kisigino hatariii refa anacheka tu hapa yaani babu Corlina

All in all Shukuru sana sana sana kumshuhudia THE KING KUWAHI KUTOKEA KTK USO WA DUNIA. hakika nitapata kuwahadithia wajukuu zangu. i think utakuwa ushamjua!
 
Back
Top Bottom