Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuweka rekodi sawa, Kahn hakustaafu aliendelea kucheza!Ronaldo alimfanya kipa bora wa ujerumani over khan astaafu
Kleberson aling'aa sana kwenye michuano ile ya Kombe la Dunia la mwaka 2002 pale Korea Kusini na Japan. Kiasi cha kusajiliwa na Man Utd mara baada ya michuano.Kwenye bench wapo Denilson na Kleberson.
Km mimi asehSitaki kuamini kua nilikua darasa la tatu.... dah kumbukumbu nzuri saana
The invicible wall. One of the most underrated footballers of all time.Gilberto Da Silva
Kiukweli wakuu tulipokua wadogo wengi tuliipenda Brazil ila ukikua ndio unabadilika
Mto bora sana huyu, beki makini mkimyaaaa...watu wengi hawamfahamu huyu.4 Roque Jr best defender ever nilikuwa napenda sana uchezaji wake,ni mpole asiekuwa na maneno mengi uwanjani.
Kufungwa saba!!!! a u seriousKufungwa mara moja moja hiyo kawaida, huwezi cheza mpira miaka yote ukashinda tuu, ipo siku uta droo au kufungwa
mleta uziii safi sana mimi napenda unavyokumbusha tu SAINT GAUCHOOOOOO hatariiii hatariiii hapa sasa umpate yule mtangazaji JUMA NKAMIA gaucho anageuka gaucho anageresha anapiga tobo ,gaucho anaubetua kwa kisigino hatariii refa anacheka tu hapa yaani babu Corlina
There hasn't been a king without a crown.[emoji16] [emoji16] [emoji16]All in all Shukuru sana sana sana kumshuhudia THE KING KUWAHI KUTOKEA KTK USO WA DUNIA. hakika nitapata kuwahadithia wajukuu zangu. i think utakuwa ushamjua!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tutamvika uking akiwa na crownThere hasn't been a king without a crown.[emoji16] [emoji16] [emoji16]