Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,006 Reaction score 13,281 Feb 28, 2025 #61 We hayo majina ya marehemu umeyapata wapi??
N Noti bandia JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 2,684 Reaction score 4,315 Feb 28, 2025 #62 Ila hii game ilichezwa kizembe Sana maana bageni alikuwa na uzoefu wa muda mrefu kazini Mf. Wote kupigwa risasi maeneo yanayofanana, yaan kisogoni. Kwa sababu kama ilikuwa ni majibizano ya risasi isingewezekana polisi wawalenge wote visogoni
Ila hii game ilichezwa kizembe Sana maana bageni alikuwa na uzoefu wa muda mrefu kazini Mf. Wote kupigwa risasi maeneo yanayofanana, yaan kisogoni. Kwa sababu kama ilikuwa ni majibizano ya risasi isingewezekana polisi wawalenge wote visogoni