Unaikumbuka kesi ya Zombe; watoto wa 2000 kaeni mbali kidogo

Unaikumbuka kesi ya Zombe; watoto wa 2000 kaeni mbali kidogo

Ila hii game ilichezwa kizembe Sana maana bageni alikuwa na uzoefu wa muda mrefu kazini
Mf. Wote kupigwa risasi maeneo yanayofanana, yaan kisogoni. Kwa sababu kama ilikuwa ni majibizano ya risasi isingewezekana polisi wawalenge wote visogoni
 
Back
Top Bottom