Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa



hahahahhhahah
 
waliniita mgiriki kama ukumbuka kitu ikilichofanywa na wagiriki kwenye euro 1998
 
TIcha zwazwa ndo yukoje? Jikerebishe wew na inaelekea ulienda kusumbua shuleni.

Ok mim nick name yan mliitwa Longboy mref kuliko mti.
 
Kapeace masupu

Balehe yangu nilinenepa sana miguu ikajaa haswa shule nzima ikawa ukitaka unipate ulizia kapeace masupu
 
O level nilikua naitwa Sinyorita
Advance nilikuwa naitwa social sababu nilikua kiongozi wa starehe
 
Dah!
By early 2000's pale Kitieni, in our class and in other classes I was known by nickname Yasser Willey(YW).
Umenikumbusha mbali mdau.
 
[emoji85] Miss independent
Hii nilipewa kutokana na urembo pia nilikua naongoza kitaaluma kwa wadada wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…