Inaonyesha ulikua unakaa mandela wwHahaaa Mkuu Tosa boys tunyoshe mikono juu hii 2007
hahahahahahahaNimevamia thread ya waliosoma sekondari..
Mimi La 7B ngoja nilog off........
Sema haki ya MunguMie labda nikuinbox, lakini kuweka hapa..... Nitapiwa lifetime BAN
TehMimi nilikuwa naitwa CHOGO....ukiniuliza kwanini nilikuwa naitwa hivyo wewe ni mgomvi!