nikeNaikumbukaga sana nickname yangu jaman enzi hizo nipo form 3 nilianza kujiita YOUNG SINGLE n FREE!(Y.S.F)lilivuma sanaaaa! had kwenye daftar la teacher zwazwa unaandika tu sema masomo ya teacher mnoko huthubutuu ! lol
kaka yangu alikua akijiita MPUSH(akimaanisha msukuma) rip bro
dada yangu alikua akijiita ability heheheh nakumbuka wazaz hawakuwa wanayajua haya majina kbs !
tupia a.k.a yako enzi za shule