Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

Dah... Darasani waliniita Bumblebee...... nikiingia uwanjani waliniita Road Block ....... kitambo sana....mwanzoni mwa 1950s🙂😀😀😀 😎
 
Mazengo niliitwa KISSING MASTER [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
1.Happy skilful international school niliitwa SOULJA-J

2.Agape mbagala secondary school niliitwa VIBRATES BRAIN

3.Mbalizi high school nilitwa PUMBU-G
 
walikua wananiita vigimbi kwenye mpira maana nilikua navyo kama vya shadrack nsajigwa
 
Back
Top Bottom