Unaikumbuka timu hii ya Taifa ya Uholanzi

Unaikumbuka timu hii ya Taifa ya Uholanzi

mkuu asante umenikumbusha mbali sana
1998 semi final moja kali sana wakicheza na brazil ni kama namuona de lima anamvyomtoka frank de boer na kufunga moja ya magoli mazuri kabisa ambayo nimepata kuyaona
Kumbuka na alivysawazisha Patrick Cluivert.Pass ya Dennis Berkamp.
 
mkuu asante umenikumbusha mbali sana
1998 semi final moja kali sana wakicheza na brazil ni kama namuona de lima anamvyomtoka frank de boer na kufunga moja ya magoli mazuri kabisa ambayo nimepata kuyaona

Usisahau na goli la kusawazisha la kichwa Patrick Kluivert anapanda na beki juu halafu mpira unapigwa chini.
 
Kombe ni jambo jingine.. tunazungumzja kabumbu walilokuwa wanaliangusha.. mengine ni bahati tuu.
Historia miaka 100 haitakumbuka hilo kabumbu bali brazil na waliochukua ndo wanakumbukwa!
Unadhani Uingereza ya 1966 ilikuwa na kabumbu zuri?? Ila wanakumbukwa zaidi ya holand sababu ya kubeba ndoo!!
 
Historia miaka 100 haitakumbuka hilo kabumbu bali brazil na waliochukua ndo wanakumbukwa!
Unadhani Uingereza ya 1966 ilikuwa na kabumbu zuri?? Ila wanakumbukwa zaidi ya holand sababu ya kubeba ndoo!!
Unajua maana ya historia.. hizo unazozisema wewe ni record, kikosi chao hakikuweka rekodi ila kwenye historia ya soka watakuwemo tu..

Historia na rekod ni baba mmoja mama mmoja, jitahid kutokuvichanganya.
 
genious ni Huyu
Louis-Van-Gaal.jpg


kakitengeneza yeye hicho kikosi,

alivyotoka hapo akaenda kutengeneza spain,

alivyotoka hapo akatengeneza kidogo kwao kisha akamalizia kutengeneza ujerumani.


Bro, huyu ndiye real master,The General". He said, "Professional football is something like war. Alianzisha total football, aliwafundisha Cruyff, Gullit, Marco Van Basten, Rijkaard, Koeman. Pia huyu Louis Van Gaal alijifunza kutoka kwa Huyu Rinus Michels. Yeye ndio alioaznsha Barcelona style of football kama tunavyoijua leo. Barcelona style of football imetokea kwenye from Ajax team of 1960s and 1970s.

His achievements
Manager[edit]
Ajax[12]
Barcelona[12]
Netherlands[12]
Other
Rinus Michels - Wikipedia

Total Football: - What it required was for every player to be comfortable on the ball. Defenders attacked, attackers defended and possession was king. Flexible, Fluid and total domination of opposition.

Both as a player and as a trainer there is nobody who taught me as much as him. I will miss Rinus Michels. ... I always greatly admired his leadership." quote from Johan Cruyff.

But they way Brazil play this kind of football in 1950s and 1960s but in Europe it was Ajax and Holland who perfected this style and later Barcelona and Spain.

Pep Guardiola follows Cruyff ideas ambazo zilitengeneza Barcelona greatest team. Alisema hivi kuhusu Cruyff: - “Without him I wouldn’t be here. I know for sure this is why I am, because of what he taught us".

“He was the most influential person in football history. He changed not one club. He changed two clubs – as a player and a coach. It’s impossible to find another guy like this. OK, he did it at Ajax and they won the European Cup when Michels was there – but the player was Johan.

After that he was a coach there and then he came to Barcelona. It was a big club but it didn’t have a specific football culture. We had one Argentina coach who played an Argentinian style, then came a German coach who played a German style. But then Johan arrived and he said: ‘Guys, now we play this way.’

Pep Guardiola: ‘I would not be here without Johan Cruyff. He was unique’

Kwayiho inaenda kama hivi Rinus - Cruyff- Van de Gaal Frank Rijkaard - Guardiola etc. Ajax -Holland - Barcelona - Spain. Sasa hivi Germany and
Bayern Munich pia wanacheza the same way.
 
Na magoli yake mengi alikuwa akifanya mawili kati ya hayo matatu au yote kwa pamoja..
Watu wa kariba ya Bergkamp huwa hawazaliwi hovyo hasa katika kizazi hiki ambacho soka limetekwa na pesa za Warusi na Waarabu.

Kidogo Dimitar Berbatov alijitahidi kuvaa viatu vya Bergkamp lakini sio kwa kiwango kikubwa. Soka limepoteza vipaji halisi na maridhawa!
 
Nikitazama vikosi kama hivi huwa nasema mpira duniani ulikufa miaka ya 2009. Enzi hizi tulikuwa tunatazama hasa mpira,siku hizi tunatazama biashara ya mpira tu
Mpira umekuwa biashara sana ndio maana unaweza ukajiuliza Oscar wa miaka 25 anaenda kucheza ligi ya China katika umri ambao alitakiwa awe katika timu kubwa ulaya akipambana kwa ajili ya mataji.

Kitu kingine kilichoua mpira, ni matumizi mengi ya mbinu za kujilinda kwa ajili ya kupata matokeo. Kuna formation za kihuni sana kwa ajili ya kujilinda tu, 3-5-2 hii ni mfano moja wapo.

Hivi katika miaka ya 1998 mpaka 2003, Inter ile ya Mourinho ya mwaka 2010 ingechukuaje taji la Klabu bingwa kwa mbinu yake ya kupaki basi na kushinda mechi nyingi 1-0. Kulikuwa na timu matata sana za kusakata kabumbu huku zikipata matokeo, kama vile Bayer Leverkusen, Valencia, Leeds United, bila kusahau vigogo wakubwa Ulaya.

Lakini baada ya mwaka 2004, Soka lilianza kuharibika kwa matumizi mengi ya mbinu za kujilinda na mfano wake ni Ugiriki ilipobeba Euro 2004 huku muda mwingi wakiwa wamepaki basi.

Niishie hapo.
 
Moja ya Kikosi kibovu Kuwahi kutokea ni hiki!!!!! Hakijawahi kupata mafanikio ya aiba yotoe
Mkuu jamaa walikuwa na kikosi kizuri hawakuwa na bahati.

Rejea Brazil ya kombe la dunia mwaka 1982, ni moja kati ya vikosi bora vya wakati wote lakini hawakutwaa taji lolote licha kutandaza soka la hali ya juu!
 
Back
Top Bottom