Unailindaje TV yako kutoka kwenye uharibifu wa watoto wadogo?

Unailindaje TV yako kutoka kwenye uharibifu wa watoto wadogo?

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Kulea watoto nyumbani huku kukiwa na vitu rahisi kuharibika kama Tv karibu imekuwa changamoto sana

watoto wanapenda kushika shika Vitu pasipo kujua hatari zake.

Kwa upande wa Tv basi imekuwa kero, watoto hurusha midori, mipira au kupanda juu ya Tv kabisa hivyo kupelekea kuvunjika kwa kifaa hiki kwa muda mfupi

Unaweza kushea nasi mbinu unazotumia kuhakikisha usalama wa Tv na mtoto wako hapo nyumbani ili wengine wajifunze

FB_IMG_1730364077669.jpg
 
Tangazo la nyumba limetufikia mkuu. Kwani ndio kwanza unanunua TV?
 
Kulea watoto nyumbani huku kukiwa na vitu rahisi kuharibika kama Tv karibu imekuwa changamoto sana

watoto wanapenda kushika shika Vitu pasipo kujua hatari zake.

Kwa upande wa Tv basi imekuwa kero, watoto hurusha midori, mipira au kupanda juu ya Tv kabisa hivyo kupelekea kuvunjika kwa kifaa hiki kwa muda mfupi

Unaweza kushea nasi mbinu unazotumia kuhakikisha usalama wa Tv na mtoto wako hapo nyumbani ili wengine wajifunze

View attachment 3139721
Ni kuwaeleza, kuwaelekeza na kuwakanya vizuri. Wape elimu juu ya Mali za familia kwa upole na waeleze hasara kuwa ni mbaya.

Wakiwa wakahidi pitisha kiboka kama mzazi siyo mpita njia; na usionyeshe Upendo saana kwa Watoto kupita kiasi maana hapo unajenga kitu kinaitwa DEKO. Matokeo au faida ya DEKO ni kukuendesha, kukukoshanisha na majirani achilia mbali wageni.

Na ukinunia Mali ni kuharibu hata ukileta kitu ndani itakulazimu kukiweka mbali kama siyo kukificha. Mtoto umemzaa mwenyewe muombee hekima na busara kwa MUNGU na mpe malezi bora, siyo kutengeneza woga wakati ni mwanao.[emoji188][emoji188]
 
Mnunulie vitu vyake vya kuchezea vingi halafu anakuwa anacheza navyo chumbani kwake au nje. Hatakuwa na muda na tv.
 
Mnunulie vitu vyake vya kuchezea vingi halafu anakuwa anacheza navyo chumbani kwake au nje. Hatakuwa na muda na tv.
kuna kutazama katuni za kina tom and jerry..

think abt it
 
kuna kutazama katuni za kina tom and jerry..

think abt it
Achana na habari za kuwaonesha watoto katuni. Kama unaona ni muhimu wanunulie zile pad za watoto
 
Back
Top Bottom