Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Kulea watoto nyumbani huku kukiwa na vitu rahisi kuharibika kama Tv karibu imekuwa changamoto sana
watoto wanapenda kushika shika Vitu pasipo kujua hatari zake.
Kwa upande wa Tv basi imekuwa kero, watoto hurusha midori, mipira au kupanda juu ya Tv kabisa hivyo kupelekea kuvunjika kwa kifaa hiki kwa muda mfupi
Unaweza kushea nasi mbinu unazotumia kuhakikisha usalama wa Tv na mtoto wako hapo nyumbani ili wengine wajifunze