Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
HAKIKAMtoto inatakiwa umfunze kutunza mali za familia hata awe mdogo vip
Sio kuharibu vitu na vyombo
Ni kuwaeleza, kuwaelekeza na kuwakanya vizuri. Wape elimu juu ya Mali za familia kwa upole na waeleze hasara kuwa ni mbaya.Kulea watoto nyumbani huku kukiwa na vitu rahisi kuharibika kama Tv karibu imekuwa changamoto sana
watoto wanapenda kushika shika Vitu pasipo kujua hatari zake.
Kwa upande wa Tv basi imekuwa kero, watoto hurusha midori, mipira au kupanda juu ya Tv kabisa hivyo kupelekea kuvunjika kwa kifaa hiki kwa muda mfupi
Unaweza kushea nasi mbinu unazotumia kuhakikisha usalama wa Tv na mtoto wako hapo nyumbani ili wengine wajifunze
View attachment 3139721
kuna kutazama katuni za kina tom and jerry..Mnunulie vitu vyake vya kuchezea vingi halafu anakuwa anacheza navyo chumbani kwake au nje. Hatakuwa na muda na tv.
Achana na habari za kuwaonesha watoto katuni. Kama unaona ni muhimu wanunulie zile pad za watotokuna kutazama katuni za kina tom and jerry..
think abt it