Bonheur Travels Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 252
- 499
Tunaishukuru sana JF na wakuu wote mliomo humu kwani mwaka 2021 mmetusaidia sana kuboresha huduma zetu hasa upande wa kuwasiliana na wateja na kuwaelimisha kuhusu safari za ndege, tiketi na mengineyo.
Mwaka huu 2022 tumeona tuje na maboresho upande wa kiufundi, hivyo tukaanza na kutengeneza upya LOGO ya kampuni itakayoreflect huduma zetu.
Bila shaka humu kuna wataalamu wa hizi mambo. Tunahitaji mtuambie mnaionaje LOGO hii mpya? Kama kuna maoni, ushauri na mapendekezo tupo tayari kuyafuata.
Logo ya zamani:
Logo mpya BONHEUR NEW LOGO