Unaionaje logo yetu? Tuboreshe wapi? Tunapokea maoni, ushauri na mapendekezo

Bonheur Travels Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2020
Posts
252
Reaction score
499
Tunaishukuru sana JF na wakuu wote mliomo humu kwani mwaka 2021 mmetusaidia sana kuboresha huduma zetu hasa upande wa kuwasiliana na wateja na kuwaelimisha kuhusu safari za ndege, tiketi na mengineyo.

Mwaka huu 2022 tumeona tuje na maboresho upande wa kiufundi, hivyo tukaanza na kutengeneza upya LOGO ya kampuni itakayoreflect huduma zetu.

Bila shaka humu kuna wataalamu wa hizi mambo. Tunahitaji mtuambie mnaionaje LOGO hii mpya? Kama kuna maoni, ushauri na mapendekezo tupo tayari kuyafuata.

Logo ya zamani:

619644.jpg

Logo mpya BONHEUR NEW LOGO

btt.JPG
 
Hii LOGO hamna kabisaa mkuu, themes hazivutii items kama iyo planet haieleweki rangi nazo kifupi sio nzuri (maoni yangu)
Enewei naomba kuuliza hili shirika linapatikana mikoa yote?? Na ratiba zake na bei zake?? Na website yake!? Na ofisi zake ziko wapi?
 
Hii LOGO amna kabsaa mkuu themes hazivutii items kama iyo planet haieleweki rangi nazo kifupi sio nzuri (maoni yangu)
Enewei naomba kuuliza ili shirika linapatikana mikoa yote??Na ratiba zake na bei zake?? Na website yake!? na ofisi zake ziko wapi?

Asante kwa maoni mazuri.

1. Bila shaka unaelezea logo ya zamani ndiyo yenye planet, hiyo mpya yenye Twiga kama symbol unaionaje mkuu?

2. Ofisi zetu zipo Dar es Salaam na tunapatikana maeneo mengine yote kwa njia ya mtandao. Bei na huduma zote tumeziweka kwenye tovuti yetu www.bonheurtravels.co.tz

Karibu sana Mwalimu.
 
Safiii

Iyo ya pili Angalau mkuu
 
Tunaishukuru sana JF na wakuu wote mliomo humu kwani mwaka 2021 mmetusaidia sana kuboresha huduma zetu hasa upande wa kuwasiliana na wateja na kuwaelimisha kuhusu safari za ndege, tiketi na mengineyo.

Mwaka huu 2022 tumeona tuje na maboresho upande wa kiufundi, hivyo tukaanza na kutengeneza upya LOGO ya kampuni itakayoreflect huduma zetu.

Bila shaka humu kuna wataalamu wa hizi mambo. Tunahitaji mtuambie mnaionaje LOGO hii mpya? Kama kuna maoni, ushauri na mapendekezo tupo tayari kuyafuata.

Logo ya zamani:

View attachment 2072107

Logo mpya BONHEUR NEW LOGO

View attachment 2072111
Kwakweli kwa upande wangu naona haziko clean and modern
 
Ya kwanza ilikuwa anagalau ina reflect what your company does kutokana na maelezo yako, ila ile dunia imekuwa designed sio... na ya pili Logo imeenda opposite kabisa imekuwa inawakilisha kampun za utalii za kusafirisha abiria kwenda ngorongoro. Just kidding

Sema zibadilishe ajiri mtu anaejua anachofanya, hizo Logo ulitengeneza mwenyewe online tena free kwa google logo maker apps?
 
Maoni yako yamechambua vizuri.

Kuhusu logo mpya kurepresent kampuni za utalii sio utani, tunatarajia kuanza kutoa huduma za Safaris (Utalii) pia. Hivyo tuliona tutengeneze logo itakayobeba taswira zote mbili.

Hatujatengeneza wenyewe, kuna mtaalamu tulimpatia kazi ya kuidesign.
 
Back
Top Bottom