Unaionaje Tanzania baada ya Uchaguzi wa mwaka 2020?

Unaionaje Tanzania baada ya Uchaguzi wa mwaka 2020?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Hivi baada ya Uchaguzi wa mwaka huu unadhani Tanzania nchi tunayoishi na kuitakia mema itakuwaje?

1. Uhuru wa kuabudu utakuwaje?

2. Uhuru wa Mahakama utakuwaje

3. Uhuru wa kutoa mawazo utakuwaje

4. Uhuru wa vyama vingine vya siasa zaidi ya CCM kufanya siasa utakuwaje

5. Uhuru wa kupata habari utakuwaje

6. Uhuru wa vyombo vya habari utakuwaje

7. Vyombo vya dola vitatendaje kazi zake?

8. Haki za raia na Haki za binadamu zitaheshimiwaje?

9. Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania litaendeshwaje na litakuwa Huru kiasi gani?

10. Maslahi ya watu Wazanzibar kwenye Muungano yatapewa kipaumbele kiasi gani?

Wewe unaionaje Tanzania baada ya Uchaguzi wa mwaka huu??
 
Tutapanda kiwango cha uchumi( high middle income) badala ya sasa (lower middle income)
Hivi kwa takwimu zetu imetuchukua miaka mingapi kufikia hiyo level ya "Lower Middle Income"? Na unadhani baada ya uchaguzi huu itatuchukua miaka mingapi kufika hiyo "High Middle Income"?
 
Itabidi watu wakaabudu yule mungu wa chattle. Vyama vya upinzani siasa zitazimwa hadi 2025. Magazeti yatabakia mawili Uhuru na Mzalendo. Polisi watashona sare za kijani na njano. Watu watapotea bila maelezo, wavunjwa miguu watakuwa wengi. Bunge litakuwa kama kamati kuu ya ccm. Zanzibar itakuwa kama wilaya ya Tanganyika.

Ila mwishoni kabisa 2025 mtu ataumbuka na hakuna atakayemsifia na atanyong'onyea sana ila watamtafuta "ajaye" tayari kwa kuendeleza unafiki.
 
Hivi baada ya Uchaguzi wa mwaka huu unadhani Tanzania nchi tunayoishi na kuitakia mema itakuwaje?

1. Uhuru wa kuabudu utakuwaje?

2. Uhuru wa Mahakama utakuwaje

3. Uhuru wa kutoa mawazo utakuwaje

4. Uhuru wa vyama vingine vya siasa zaidi ya CCM kufanya siasa utakuwaje

5. Uhuru wa kupata habari utakuwaje

6. Uhuru wa vyombo vya habari utakuwaje

7. Vyombo vya dola vitatendaje kazi zake?

8. Haki za raia na Haki za binadamu zitaheshimiwaje?

9. Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania litaendeshwaje na litakuwa Huru kiasi gani?

10. Maslahi ya watu Wazanzibar kwenye Muungano yatapewa kipaumbele kiasi gani?

Wewe unaionaje Tanzania baada ya Uchaguzi wa mwaka huu??
Uminyaji wa demokrasia ni doa.
 
Utaimarika zaidi

Kutakuwa na serikali katili sana! Mauaji makubwa, watu kupotea, kutekwa na mabaya mengi sana. Hakutakuwa na sheria, katiba, mahakama, Bunge. Vyote vitafutwa in a de facto manner. Itakuwa mamlaka ya kidikiteita ya mtu mmoja! TOTAL AUTHORITARIAN RULE.. ONE MAN RULE..... A form of government in which the ruler is an absolute dictator (not restricted by a constitution or laws or opposition etc.
 
Piga kazi mkuu, mabadiliko ni makubwa sana huko tuendako mwenye nacho ataongezewa na mwenye nguvu atapishwa.
 
Back
Top Bottom