Hivi baada ya Uchaguzi wa mwaka huu unadhani Tanzania nchi tunayoishi na kuitakia mema itakuwaje?
1. Uhuru wa kuabudu utakuwaje?
2. Uhuru wa Mahakama utakuwaje
3. Uhuru wa kutoa mawazo utakuwaje
4. Uhuru wa vyama vingine vya siasa zaidi ya CCM kufanya siasa utakuwaje
5. Uhuru wa kupata habari utakuwaje
6. Uhuru wa vyombo vya habari utakuwaje
7. Vyombo vya dola vitatendaje kazi zake?
8. Haki za raia na Haki za binadamu zitaheshimiwaje?
9. Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania litaendeshwaje na litakuwa Huru kiasi gani?
10. Maslahi ya watu Wazanzibar kwenye Muungano yatapewa kipaumbele kiasi gani?
Wewe unaionaje Tanzania baada ya Uchaguzi wa mwaka huu??