Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Nini utaimarika zaidi??Utaimarika zaidi
Vyote ulivyoulizaNini utaimarika zaidi??
Kwa nini unadhani vyote nilivyouliza vitaimarika zaidi? Kwa sasa hivi vikoje na unadhani mwakani vitaimarika zaidi kwa kuwa vipi?Vyote ulivyouliza
Obviously for those who do not work.Many more will have to suffer
Many more will have to die
Don't ask me why ....!?
King Mufasa mfalme wa wafalme.majibu ya kifalme mwenye weredi.Tutapanda kiwango cha uchumi( high middle income) badala ya sasa (lower middle income)
Hivi kwa takwimu zetu imetuchukua miaka mingapi kufikia hiyo level ya "Lower Middle Income"? Na unadhani baada ya uchaguzi huu itatuchukua miaka mingapi kufika hiyo "High Middle Income"?Tutapanda kiwango cha uchumi( high middle income) badala ya sasa (lower middle income)
Uminyaji wa demokrasia ni doa.Hivi baada ya Uchaguzi wa mwaka huu unadhani Tanzania nchi tunayoishi na kuitakia mema itakuwaje?
1. Uhuru wa kuabudu utakuwaje?
2. Uhuru wa Mahakama utakuwaje
3. Uhuru wa kutoa mawazo utakuwaje
4. Uhuru wa vyama vingine vya siasa zaidi ya CCM kufanya siasa utakuwaje
5. Uhuru wa kupata habari utakuwaje
6. Uhuru wa vyombo vya habari utakuwaje
7. Vyombo vya dola vitatendaje kazi zake?
8. Haki za raia na Haki za binadamu zitaheshimiwaje?
9. Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania litaendeshwaje na litakuwa Huru kiasi gani?
10. Maslahi ya watu Wazanzibar kwenye Muungano yatapewa kipaumbele kiasi gani?
Wewe unaionaje Tanzania baada ya Uchaguzi wa mwaka huu??
😃Chini ya Lissu watu watasitawi, lakini chini ya Jiwe, jehanamu ya duniani itaendelea kutesa wanadamu!
Utaimarika zaidi
Kutakuwa na serikali katili sana! Mauaji makubwa, watu kupotea, kutekwa na mabaya mengi sana. Hakutakuwa na sheria, katiba, mahakama, Bunge. Vyote vitafutwa in a de facto manner. Itakuwa mamlaka ya kidikiteita ya mtu mmoja! TOTAL AUTHORITARIAN RULE.. ONE MAN RULE..... A form of government in which the ruler is an absolute dictator (not restricted by a constitution or laws or opposition etc.Hivi baada ya Uchaguzi wa mwaka huu unadhani Tanzania nchi tunayoishi na kuitakia mema itakuwaje?
1. Uhuru wa kuabudu utakuwaje?
2. Uhuru wa Mahakama utakuwaje
3. Uhuru wa kutoa mawazo utakuwaje
4. Uhuru wa vyama vingine vya siasa zaidi ya CCM kufanya siasa utakuwaje
5. Uhuru wa kupata habari utakuwaje
6. Uhuru wa vyombo vya habari utakuwaje
7. Vyombo vya dola vitatendaje kazi zake?
8. Haki za raia na Haki za binadamu zitaheshimiwaje?
9. Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania litaendeshwaje na litakuwa Huru kiasi gani?
10. Maslahi ya watu Wazanzibar kwenye Muungano yatapewa kipaumbele kiasi gani?
Wewe unaionaje Tanzania baada ya Uchaguzi wa mwaka huu??