Unaionaje Tanzania baada ya Uchaguzi wa mwaka 2020?

Anaekumulika mchana usiku atakuunguza! ikiwa miaka mi5 ya jiwe kila mahali vuruvuru what do you expect kipindi ambacho anamaliza muda manake hatakuwa na chakupoteza
 
Kuna mtu atakufa, kwa sifa zake na kuonea wenzake
 
Kutakuwa na vita. Tutapigana vita ndipo ule ukombozi utakapopatikana na kijani kitapotea. Tuna hasira hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…