Unaishi vipi na jirani anayependa dezo na kuombaomba?

Aisee

Hii mbona hatari!
 
Chunguza vizuri, huenda kuna "agenda" ya ziada. Jirani yako ni wa jinsia tofauti na yako?
 
Kuna mmoja alikuja kuazima pasi akaunguza waya nikakausha bahati nzuri nilikuanayo nyingine ambayo niliinunua nikiwa kwrnye safari moja hivi, so kila akija kuomba nampa ile mbovu na sijui anaitumiaje!? Maana haipeleki moto

Hahahahah kuna watu wamakiti humu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana
 
Noma sna acha tu Mkuu [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kuna mmoja alikuja kuazima pasi akaunguza waya nikakausha bahati nzuri nilikuanayo nyingine ambayo niliinunua nikiwa kwrnye safari moja hivi, so kila akija kuomba nampa ile mbovu na sijui anaitumiaje!? Maana haipeleki moto
Lahaulaaa... Mkuu! Umeniacha hoi...
 
Shuleni tulikuwa tukifungua mtu anapewa pocket money ananunua Air Force, mi nanunua mahitaji yote na ya ziada. Baadae anakuja kuomba dawa ya meno, namjibu kavae Air Force hata usiswaki bro si umeona ndio muhimu

Mwingine anazoea kuomba omba peanut au makorokoro gani. Jibu langu ni kama huumwi kwa kuikosa ujue peanut kwako sio lazima. Ingekuwa muhimu ungelazwa, mimi ni muhimu ndio maana nimenunua

Tabia za kuwapa watu wenye uwezo vitu inalemaza mno. Nilijua hili mapema baada ya kuona ndugu wa mtu fulani maarufu hapa nchini hawana mbele wala nyuma kisa tu ndugu yao anawapa hela wakihitaji. Hawafanyi kazi, ikafika siku jamaa akawa na kesi na TAKUKURU ndugu zake mibaba mizima ilikuwa kama yatima ikakosa hata hela kulisha familia
 
Watu bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duu kumbe wako wengi, kwakweli hii hali inatia hasira, na kibaya unakuta hata ukisema umuoneshe mtu kua umekasirika ila yeye hajiongezi, atarudi tena
 
Sasa huyo nae kazidi tuseme uwezo kabisa hana? Simu anayo ila chaja hana [emoji849][emoji849][emoji849]auze sim anunue chaja
 
Kama ni jinsia tofauti na wewe Kuna anachohitaji zaidi ya hiyo charger !!
 
Kuna mtu unamsaidia akiwa nashida akipata kidogo tu anakuaona ww ninadui yake! Hii kitu hua inanipatabu kidogo ila mungu kanipa moyo wa ushujaaa akirudi na mpokea tunaendelea na maisha.
 
Kuna mmoja alikuja kuazima pasi akaunguza waya nikakausha bahati nzuri nilikuanayo nyingine ambayo niliinunua nikiwa kwrnye safari moja hivi, so kila akija kuomba nampa ile mbovu na sijui anaitumiaje!? Maana haipeleki moto
[emoji23][emoji23][emoji1914]
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Huu uzi unachekesha sana, kuna watu nadhani hii tabia iko kwenye damu sababu kuna wengine sio kwamba hawana uwezo wa kununua vitu vyao ila basi tu wanapenda kuomba omba, hii tabia inakera sana basi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…