Unaishi vipi na mpenzi wako mwenye asili ya udokozi?

Nitaifanyia kazi
 
Dawa yake ndogo huyo uwe unamkabidhi yeye baada ya kumpa azihesabu mwenyewe pia unamsainisha.
Mchawi mpe mtoto amlee mwenyewe
 
Dawa yake ndogo huyo uwe unamkabidhi yeye baada ya kumpa azihesabu mwenyewe pia unamsainisha.
Mchawi mpe mtoto amlee mwenyewe
 
Jizi hilo.
Na ukiona mwanamke mwizi ujue ni li profesheno prostitute
 
Nakumbuka nilienda lodge na mrembo fulani kitambo, eti akaondoka na sabuni na tomato.

Alitaka kuchukua shuka nikamkataza, nilimshangaa sana kwakweli
Mwenzio yuko kazini na hayo ni marupurupu 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…