SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Mimi usipokuwa kuwa unanitunza nakuwa kuwa mdokozi . Kweli ila ukinipenda nakunijali siwi mdokozi hata uwe umeacha ml 90 juu ya kitanda ninyime uone .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mwongoKuna sample ya mwanamke umebakiza kwel wew
kazidi aseeeeHuyu ni mwongo
😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🏃🏾♀️Ni wewe tu
Yaani kila siku anampya na tabia mpya katika tabia yake huu nikazidi aseeee
atakua anatuchora tu bwanYaani kila siku anampya na tabia mpya katika tabia yake huu ni
Umeshauri kiutuuzima,hongeraMwambie ukweli tu....labda hiyo tabia amekuwa nayo muda mrefu sasa kupitia wewe anaweza kujirekebisha
Kuna wengine walikuwa walevi,wakaacha kutokana na hekima za wapenzi wao...sembuse hiyo
Kwani classmates hawawezi kuwa makahabaSio kahaba, alikuwa classmate
Sijawahi kumuona akifanya hiyo biashara, nilikutana naye ClassKwani classmates hawawezi kuwa makahaba
Kuleta mambo ya mapungufu ya mkeo ni kutoa siri za chumbani na kuziweka hadharani.Kuna huyu mpenzi wangu nashindwa kumuelewa, amekuwa na tabia ya udokozi udokozi wa hela.
Yeye haombi, akiona kuna laki atanivizia nikiwa nimelewa, anachomoa kama arobaini hivi anakaa kimya; huku akijua labda mimi nimepoteza kumbu kumbu.
Nikiuliza, mbona hapa hela imepungua; anasema labda sikuhesabu vizuri kabla.
Tabia hii, imekua ikijirudia; hii ni mara ya pili.
Natamani kumpiga chini, ila ndio hivyo tena ana kitambi.
Kumuambia kuwa yeye ndio amebeba, najua atajisikia vibaya ingawa ndio ukweli wenyewe.
Nataka nije nipige mkwara kwa kumuambia, nataka nisome albadiri kwa yule anayedokoa dokoa visalio vyangu apate madhara, ili nimsikie atasemaje.
Wakuu mna maoni gani?
Baada ya kumuambia ukweli, akasema bora tuachane. Nami nikapigia mstari hapo hapo.Mwambie ukweli tu....labda hiyo tabia amekuwa nayo muda mrefu sasa kupitia wewe anaweza kujirekebisha
Kuna wengine walikuwa walevi,wakaacha kutokana na hekima za wapenzi wao...sembuse hiyo
Ndio maana wanaume tunakufa mapema kwa sababu ya kubeba vitu kwenye vifua vyetu visivyokuwa na tija, waswahili wanasema, ongea tapika nyongo mwili ukae sawa.Kuleta mambo ya mapungufu ya mkeo ni kutoa siri za chumbani na kuziweka hadharani.
Ungelikuwa umepitia chuo cha jando usingelithubutu kutoka kadamnasini namna hii na kuongelea kashsifu ya mkeo wa ndoa.
Unavyofanya kijana sivyo, jirekebishe.
Kwa mkeo unarekebisha mwenyewe bhana.Ndio maana wanaume tunakufa mapema kwa sababu ya kubeba vitu kwenye vifua vyetu visivyokuwa na tija, waswahili wanasema, ongea tapika nyongo mwili ukae sawa.
Huyu ni mchepuko, mbaya zaidi anakataan na kukimbilia tuachaneKwa mkeo unarekebisha menyewe bhana.
Kuongelea jambo lolote ni afya kweli, lakini yakupasa uongee kwake ama uongee naye dhahiri ili arekebishe mapungufu yake hayo.
Sasa kila kero za mkeo utatoka hadharani kuziongea eti kwa sababu tu unatoa nyongo!
Mke ni 'mwili mmoja' na wewe, hivyo mapungufu yake ni mapungufu yako.
Kutoa dosari yoyote ya mkeo kwa watu ni kuanika dosari zako mwenyewe pia, yaani unajichoresha na kuwapa mahasimu wenu njia ya kuanzia kuwatendea mabaya kwa maneno ama kwa vitendo.
Ndicho nilichomaanisha.
Nilidhani ni mkeo wa ndoa ndiyo nikaongea nilichokiongea.Huyu ni mchepuko, mbaya zaidi anakataan na kukimbilia tuachane