Unaita mashahidi ambao unajua fika watakukandamiza. amakweli Lisu kachanganyikiwa.

Unaita mashahidi ambao unajua fika watakukandamiza. amakweli Lisu kachanganyikiwa.

Waliopanick sio waliokataa kutoa ushahid?
Rejea mada hapo juu.
Unaposema huyu ni shahidi yangu kwenye jambo lolote lile tunategemea kuwa shahidi huyo atakuwa upande wako vinginevyo huyo sio shahidi wako.....atakuumiza.
Alipaswa atafakari hilo mapema.
 
Back
Top Bottom