Kumbe nchi yetu tuna watu wenye shida critical thinking.Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Hii mbinu kali sana kimkakati iko upande wa Lisu kuwageuza hawa kutoka accusers kuwa source of doubtIla kwa hapa hata mimi ninajiuliza hiki anachokilenga Lissu ni kipi. Maana naona hao jamaa ni kama hawawezi kuwa upande wake wahatarishe vibarua vyao. Anataka kufanya nini na hawa jamaa?
umesahau huwa anasema anapelekewa taarifa sasa wenye tu-akili twa kuvukia barabara watamfikishia jinsi komando zake walivyochemshwa na TALHapo umezingua mkuu, yaani aliyewaweka awaone ni weupe na wakati yeye ni mweupe kuliko wao
Lissu anenda kuthibitisha msemo wa wahenga usemao, "Kwa shujaa kulienda kilio na Kwa muoga kulienda kicheko*! Atahukumiwa kunyongwa hadi kufa na siku hiyo NITAFURAHI sana!Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Hakuna hata shahidi atakayemkandamiza haki ya mtu ipo uongo hujitenga kama mafuta na majiMsaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Labda sio Tanzania haitakuja kutokea kamweLissu anenda kuthibitisha msemo wa wahenga usemao, "Kwa shujaa kulienda kilio na Kwa muoga kulienda kicheko*! Atahukumiwa kunyongwa hadi kufa na siku hiyo NITAFURAHI sana!
Namshauri aache kutapatapa. asilete siasa kwenye kesi. apambane na hojaaSawa mkuu, kwahyo unamshauri nn lissu?
Hivi kwanini huwa hamko open kujifunza?Maswali ya Cross examination utakayomuuliza shahidi wako ni tofauti na utakayomuuliza mshitaki wako.
Hawezi kuwabishia mashahidi wake wakisema ni kweli ndugu Yao akifanya uhaini.
Hao ni mashahidi wake na si wa jamhuri.Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
.....Kuña Watu wanaenda Kuaibika !..😏😏...mark my wórds !Ila Kuna watu ni wajinga sana, hivi unapomtishia mwenzio kifo unadhani wewe hautakuwa kwenye hilo fungu la kifo? Tena Bora mwenzio atakufa kifo Cha kishujaa ambacho kitabakia ktk historia Daima. Tufupishe tu hakuna mtu wa kumnyonga Lissu.
Yaani wewe ndio pumbavu wa mwisho kabisa, hujui kuwa Lissu amewaweka mtegoni maana yeye ndiye atakeyukuwa akiwauliza maswali (Leading) kuthibitisha tuhuma juu yake?! Kama hujui nini maana ya cross examination and leading kwenye ulimwengu wa sheria bora unyamaze. Kiufupi Lissu atawavua nguo hao wakuuMsaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Lisu kafunga ushahidi wake, kasema hao mashahidi watamkandamiza.Ila Kuna watu ni wajinga sana, hivi unapomtishia mwenzio kifo unadhani wewe hautakuwa kwenye hilo fungu la kifo? Tena Bora mwenzio atakufa kifo Cha kishujaa ambacho kitabakia ktk historia Daima. Tufupishe tu hakuna mtu wa kumnyonga Lissu.
Sasa umeamini kuwa Lisu hajui kitu zaidi ya kupaniki.Unadhani lissu hajui au hajajipanga kuwahoji?
Sasa umeamini kuwa Lisu hajui kitu zaidi ya kupaniki.
Sasa umeamini kuwa Lisu hajui kitu zaidi ya kupaniki.
Sasa leo trh 18.09 umeamini kuwa IQ ya Lisu ni ya kawaida sana. Zaidi inaongozwa na jazba.Lissu ana akili kubwa sana. Anayoyawaza yeye kichwani ni tofauti kabisa na wewe unachokiwaza. Ile ni gifted IQ, master mind