Unaita mashahidi ambao unajua fika watakukandamiza. amakweli Lisu kachanganyikiwa.

Wewe una
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Wewe unaumia nini?. Kaamua mwenyewe wewe inakuuma nini hata akinyonywa acha afe.
 
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Mkuu Nyamaza kimya, Hujui lolote, umekariri shahidi lazima akutetee,
 
Ila Kuna watu ni wajinga sana, hivi unapomtishia mwenzio kifo unadhani wewe hautakuwa kwenye hilo fungu la kifo? Tena Bora mwenzio atakufa kifo Cha kishujaa ambacho kitabakia ktk historia Daima. Tufupishe tu hakuna mtu wa kumnyonga Lissu

Lissu ana akili kubwa sana. Anayoyawaza yeye kichwani ni tofauti kabisa na wewe unachokiwaza. Ile ni gifted IQ, master mind
Kamq ni IQ ya ulopokaji, kweli anayo IQ kubwa sana.
 
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Shida ya elimu mbalimbali ndio hii,Elimu dunia nayo muhimu shehe!

gugo "hostile witness" alafu uje kujamba hapa!
 
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Tatizo lako unasumbuliwa na Ujinga!!
 
Huoni unajichanganya mwenyewe sasa?

Kama Lissu angeamua kula maisha angekula hadi anakufa maana kwa matukio ya wazi ya kushambuliwa kwake mchana kweupe angeomba hifadhi ya kisiasa kokote duniani angepewa na angelipia kila kitu yeye na familia yake.

Lakini ili uone kuwa ni mpigania haki na mzalendo wa kweli kwenye nchi yake ameamua kuacha neema zote hizo akaamua kukubaliana na kila aina ya mateso.

Asingekuwa mkombozi wa kweli basi angeshawanyenyekea watawala muda mrefu na angeungana nao kutafuna nchi.
Mbowe alimuonya sana yeye na Heche lakini sikio la kufa halisikii dawa.
Lissu na Heche walimuona Mh. Mbowe eti ni muoga.
haya sasa ngoma imekuwa nzito.
 
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Ni ili awapige maswali washindwe kujibu huku dunia inaangalia.
 
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Unaelewa strategy ya Lissu ni nini?

Unafahamu cross examination ni nini na inaweza kutupeleka wapi katika kesi hii iwapo Lissu atawahoji hao mashahidi?

Wewe una qualification gani katika sheria?
 
Mimi sio mwanasheria ila nimewaza na kuona anacho kifanya Lisu ni kujipalia mkaa wa moto usoni. Unaitaitaje walio kushitaki na kukulalamikia eti waje kukutetea?
hata kama ni mtego....sio huo.
 
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Jamaa siyo mzima, alidhani hawatakuja sasa watakuwa mashidi dhidi yake maana watakubali ni kweli akifanya uhaini na hawezi kuwauliza maswali ya wao waseme hakufanya uhaini.
 
Unaelewa strategy ya Lissu ni nini?

Unafahamu cross examination ni nini na inaweza kutupeleka wapi katika kesi hii iwapo Lissu atawahoji hao mashahidi?

Wewe una qualification gani katika sheria?
Maswali ya Cross examination utakayomuuliza shahidi wako ni tofauti na utakayomuuliza mshitaki wako.
Hawezi kuwabishia mashahidi wake wakisema ni kweli ndugu Yao akifanya uhaini.
 
Kwa kanuni gani unampangia Lissu maswali?

Unafahamu dhana ya adverse witness/ hostile witness/ opposing party witness?
 
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Wewe Msabato umeshatoka kwenye makambi? Msalimia sana Mwana SDA mwenzako ZCO FAUSTINE JACKSON MAFWELE .

Ulipotea sana baada ya kifo cha Magufuli
 
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Uko ya ngapi?!
 
S
Wamemwona Lissu ni lofa maana ht hajui anapigania nini. Mke na watoto wanakula maisha Ulaya mwenyewe anateseka eti anatafuta ukombozi, mnyaturu mpumbavu yule. Mbishi, mjuaji, mshamba asiyejua siasa
Polepole, Nchimbi NK wako wapi? Hakuna anayejali Hadi Leo.
Na Lissu atafungwa na hakuna atakayejali pia. Kelele masaa mawili tuu basi anasahaulika.
 
Back
Top Bottom