Muendesha katapila
Member
- Jun 16, 2026
- 26
- 58
Lisu ni genius ndo maana anawaendesha anavyotaka,serikali nzima inamuwaza yeye lisu anawanyima usingizi mmesahau kuwa Kuna el nino,mie yangu macho
Sawa mkuu, kwahyo unamshauri nn lissu?Mimi ni mkilima wa maharagwe huku Ipalamwa.
Karibu sana.
Wewe si mwanasheria na hujafuatilia mambo ya mashahidi tofauti yanakuwaje mahakamani, maandishi yako yanaonesha hivyo.Mimi sio mwanasheria ila nimewaza na kuona anacho kifanya Lisu ni kujipalia mkaa wa moto usoni. Unaitaitaje walio kushitaki na kukulalamikia eti waje kukutetea?
hata kama ni mtego....sio huo.
Ili wapate kuhuthibitishia mahakama na umma kuhusu tuhuma za uhaini.Ila kwa hapa hata mimi ninajiuliza hiki anachokilenga Lissu ni kipi. Maana naona hao jamaa ni kama hawawezi kuwa upande wake wahatarishe vibarua vyao. Anataka kufanya nini na hawa jamaa?
Mtoa mada hujui tu lengo la lisu.
Kwanza hawatakuja sababu ni kuogopa kudhalishwa na gifted ones.
Pili, wakija mfano lissu akimuuliza IGP ni nani alitoa order ya kuua watanzania oktoba 2025 hilo swali ungekuwa wewe ungejibvey
Very simple, Anajibu hafahamuMtoa mada hujui tu lengo la lisu.
Kwanza hawatakuja sababu ni kuogopa kudhalishwa na gifted ones.
Pili, wakija mfano lissu akimuuliza IGP ni nani alitoa order ya kuua watanzania oktoba 2025 hilo swali ungekuwa wewe ungejibuje?
Kaishawaita sasa. Wewe unaumia nini? Kesi ni yake na hukumu itakuwa juu yake. Sasa wewe unawashwa wapi?Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
wangekuwa wana uwezo wa kumkandamiza wangeitwa na Jamhuri-kina Katuga. Subiri uone dawa inavyowaingiaMsaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Fichq ujinga wako basi.yaani wanaomkataa eti ndio mashahidi wake dah,
hii ni maajabu aise 🐒
Ivi mkuu unaongea kutoka ndani ya moyo kabisa ? Na ukakubaliana na fikra zako kama uyu jamaa anyongwe kwa kosa gani hasa!🤔Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Hapo umezingua mkuu, yaani aliyewaweka awaone ni weupe na wakati yeye ni mweupe kuliko waosasa hao jamaa zenu kama walipewa tu vyeo bila interview subiria TAL atakavyo waInterview kuna hatari baada ya USHAHIDI wakapoteza ajira baada ya aliyewaweka kuona jinsi walivyo WEUPE TU!
Wewe unajificha JF na jina Bandia, a Lissu yupo field na jina halisi. Kati yako na Lissu nani shujaa na nani Lofa?Ulofa usiuite ushuj
Ulofa usiuite ushujaa we bwege
Hata kanuni za ukoo wake hajui!Mkuu school of law ulipiga mwaka gani?
Duh! Wewe una tatizo la akili.S
Wamemwona Lissu ni lofa maana ht hajui anapigania nini. Mke na watoto wanakula maisha Ulaya mwenyewe anateseka eti anatafuta ukombozi, mnyaturu mpumbavu yule. Mbishi, mjuaji, mshamba asiyejua siasa